HAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY
![](http://3.bp.blogspot.com/-yX2dtDJZiTo/VfOUbhygfhI/AAAAAAAH4IQ/SH3sMLDY0dk/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally akiongea na mamia ya Waislamu waliojitokeza kumkaribisha rasmi makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa jioni.
Rais Mstafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha rasmi Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Jun
Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally achaguliwa kuwa Kaimu Mufti.
Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, katibu mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila alisema uchaguzi wa kumpata kaimu mufti ulifanywa kwa siku saba tangu kufariki kwa Mufti Simba.
Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini...
5 years ago
MichuziMufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, awapongeza wataalamu
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir ameitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwapongeza wataalamu wake kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa Watanzania, licha ya kuwapo janga la ugonjwa wa Corona.
Sambamba na hilo, Mufti Zubeir amewajulia hali wagonjwa na kuwaombea dua kwa Mwenyezi Mungu ili hali zao zizidi kuimarika baada ya kufanyiwa matibabu dhidi ya matatizo ya moyo yaliyokuwa yakiwakabili.
Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s72-c/index.jpg)
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s1600/index.jpg)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s72-c/aAA.jpg)
BAKWATA YAMCHAGUA SHEKHE ABOUBAKAR ZUBEIR BIN ALLY KUWA MUFTI WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s640/aAA.jpg)
Shekhe Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zubeir Bin Ally amewataka Watanzania kumwomba Mungu ili awapatie kiongozi bora katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Shekhe Zubeir aliyasema hayo jana kwenye mkutano mkuu wa Bakwata uliompitisha kuwa Mufti wa Tanzania kwa kura za wajumbe wote 310 baada ya mtu aliyeingia naye katika ushindani huo kujitoa.
Katika kinyang’anyiro hicho Shekhe Aboubakar alikuwa na wenzake watatu ambao ni Shekhe Khamis Mtupa, Shekhe Hassan Kiburwa...
9 years ago
IPPmedia12 Sep
Abubakar Zubeiry bin Ally elected Chief Sheikh
IPPmedia
IPPmedia
Tanzania�s Mufti (Chief Sheikh) Abubakar Zubeiry bin Ally thanks Bakwata General Assembly members shortly after they had voted him into power in election held in Dodoma yesterday. The Muslim Council of Tanzania (Bakwata) yesterday picked Abubakari ...
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...
10 years ago
GPLSHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Rais Kikwete akutana na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu Jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-UaDSWw6qtos/VYqv7xegzlI/AAAAAAAHjYs/P59uA2iKgX8/s640/mu1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ppo4NP4gzxY/VYqwAAfPQpI/AAAAAAAHjY4/aaPGwIqvK8M/s640/mu3.jpg)
![mu4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/mu4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3AC2EKavkus/VX9ZmFIWHXI/AAAAAAAHf2Q/3l2dS5L_s00/s72-c/images.jpg)
CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba
![](http://2.bp.blogspot.com/-3AC2EKavkus/VX9ZmFIWHXI/AAAAAAAHf2Q/3l2dS5L_s00/s640/images.jpg)