Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEKEA KUAPISHWA KWA RAIS DK. MAGUFULI

 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kuapishwa kwake.  Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT MAGUFULI


 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Hadija Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli...

 

9 years ago

CCM Blog

HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI


 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kupishwa kwake Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Sheim

 

11 years ago

Michuzi

wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo

Umati wa watu wa Afrika Kusini na wengine kutoka nchi mbali mbali,ukiwa nje ya Majengo ya Umoja yaliopo kwenye Mji wa Pritoria nchini humo,tayari kwa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini,Mh. Jacob Zuma inayoendelea kufanyika hivi sasa.

 

10 years ago

Vijimambo

WAJUMBE WA DICOTA 2014 CONVETION WAKUTANA KWENYE HAFLA YA COCKTAIL KWA UTAMBULISHO NA KUEANA MWONGOZO WA MKUTANO.

 Bw. Lunda Asmani akielezea utaratibu utakavyokua kwenye DICOTA 2014 Convetion itakayoaanza muda si mrefu leo Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye hafla ya Cocktail iliyofanyika Alhamisi jioni Oct 2, 2014 katika hotel ya Millennium Durham North Carolina. Bw. Lunda Asmani pia alitumia wasaa huo kuwatambulisha wageni mbalimbali akiwemo mgeni rasmi Katibu Mkuu kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue.Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini Marekani Mhe. Liberatus Mulamula akiongea na wahudhuriaji...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU.

SIMU.TV:  Viongozi Mbalimbali wawasili katika ukumbi wa Ikulu Ya Chamwino Dodoma kushuhudia kiapo cha Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa. SIMU.TV:  Mhe. Kassim Majaliwa ni waziri wa 11 tangu Tanzania ipate uhuru wake toka kwa wakoloni.https://youtu.be/w8QL1Xqn-uE SIMU.TV:  Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Gharib Bilal awasili kushuhudia kiapo cha Mhe. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. https://youtu.be/UDtuYyt5jVISIMU.TV:  Hatimaye Waziri mkuu mteule na Rais Magufuli wawasili ndani ya ukumbi wa Ikulu...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Longido washerehekea kwa maandamano ya amani kuapishwa rais Magufuli

Wakazi wa mkoa wa Arusha wamesherehekea kwa namna mbalimbali kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania Dakta John Pombe Magufuli, ambapo huko Wilayani Longido eneo la mpakani mwa Tanzania na Kenya, wafugaji wa jamii ya kimaasai wamefanya maandamano ya amani kumpongeza kiongozi huyo. Kituo hiki kimefika katika maeneo mbalimbali ya Longido na kushuhudia wananchi wakiwa wanafuatilia matangazo ya moja kwa moja yaliyokuwa yakirushwa na vituo mbalimbali vya televisheni kutoka uwanja wa Taifa Jijini Dar...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

9 years ago

GPL

RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI KUAPISHWA LEO

Rais mteule, Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. RAIS mteule, Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Kwa mara nyingine, Tanzania itakuwa inabadilisha uongozi wake wa juu kwa amani na utulivu tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani