Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hapa kuna Sifa 13 Watakazozitumia CCM Kumteua Mgomea Urais Kupitia chama Hicho


Mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye atabeba jukumu la kupeperusha bendera ya chama hicho ili kukipa ushindi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, sasa tunahesabu siku.Baadhi ya makada wa chama hicho wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), wanasema mchakato huo huenda ukaanza Mei mwaka huu.
Akizungumza na Mwandishi wetu, Mjumbe wa NEC kutoka mkoani Arusha ambaye hakutaka jina lake liandikwe, alisema katika uchaguzi wa mwaka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIJANA WA NCCR-MAGEUZI WAMCHUKULIA FOMU MGOMBEA URAIS WA CHAMA HICHO,DK.MIHANGO

Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi,Faustine Sungura akizungumza na Wandishi wa habari katika Makao Makuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi,leo jijini Dar es Salaam,(kushoto) ni Katibu wa Vijana wa  Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa Mawazo Atanas.

 Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Urais Katibu wa vijana wa  chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mawazo Atanas kwa niaba ya  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dk George Mihango,jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini...

 

10 years ago

Michuzi

CCM TABORA YAWATUNUKU VYETI MAKADA WAKE WALIOKISAIDIA CHAMA HICHO KUPATA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Bi.Jannat Kayanda akimkabidhi cheti mmoja kati ya makada wa chama hicho Bw.Emmanuel Mwakasaka waliokisaidia kupata ushindi wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji na vitongoji wilaya ya Tabora mjini ambapo CCM ilipata ushundi mkubwa dhidi ya vyama vya upinzani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAFUNGUA KAMPENI ZA CHAMA HICHO IRINGA

 Mgombea  ubunge   jimbo la Iringa mjini  Bi  Chiku  Abwao.Chiku  Abwao  akiwahutubia  wananchi 
Na MatukiodaimaBLogCHAMA  cha ACT  wazalendo  kimezindua kampeni  zake  za  ubunge katika  jimbo la Iringa  huku  mgombea  wake ubunge  katika  jimbo  hilo Bi  Chiku  Abwao akivilalamikia baadhi ya   vyombo vya habari  nchini kwa  kukalia  habari  zake  zinazohusiana na uchafu  wa mgombea  Urais  wa  chama  cha  Demokrasia na maendeleo (chadema) anayewakilisha vyama vinavyounda  umoja  wa...

 

10 years ago

Michuzi

LUTALOSA YEMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA ADC

 Wanachama wa chama cha ADC wakishangilia mara baada ya kumtangaza mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar katika mkutano wa kamati kuu uliofanyika leo katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.Wanachama wa chama cha ADC wakipata urudani kutioka kwa kijana wao wa burudani katika mkutano mkuu wa chama hicho wa kumtangaza mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,mgombea urais wa Zanzibar na mgombea mweza katika nafasi hiyo, katika mkutano uliofanyika Hoteli...

 

9 years ago

Mwananchi

Kasambala baharia anayetaka urais kupitia chama cha NRA

Moja ya vyama vya siasa vilivyopitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumsimamisha mgombea urais, ni chama cha National Reconstruction Alliance (NRA).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani