HAPA Singida kutumia mil 485 kuboresha afya vijiji 62
Meneja wa shirika la HAPA la mkoa wa Singida, David Mkanje akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 7.4 milioni kwa kijiji cha Mlandala kata Urughu wilaya ya Iramba.Vifaa hivyo vimetolewa msaada na shirika la HAPA. Kulia ni mwenyekiti wa kijiji cha Mlandala,Mahona Mahela na kushoto ni kaimu mganga mkuu wa wilaya ya Iramba, Dk.Antony Mburu.
Na Nathaniel Limu, Iramba
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Plan kutumia mil. 161/- kuboresha huduma ya afya
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Plan Ifakara linakusudia kutumia sh milioni 161 katika mwaka wa fedha 2013/2014 ili kuboresha huduma za afya katika kata saba wilayani Kilombero. Akizungumza katika kikao...
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Shirika la SEMA mkoani Singida lachangia vifaa vya afya kwa wahudumu 43 wa afya ngazi ya vijiji na mitaa
Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vikiwemo miavuli vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.5 milioni vivyogawiwa kwa wahudumu wa afya ngazi ya vijiji na mitaa manispaa ya Singida. Kulia ni Mganga mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk John Mwombeki.
Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akimkabidhi Mganga Mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk...
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
World Vision Tanzania yatumia zaidi ya bilioni 5.3 kuboresha miradi ya Afya Singida
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Kamanzi na DC wa wilaya ya Singida, akifungua hafla ya makabidhiano wa mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN-MNCH). Wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Ikungi Gichulu Charles na anayefuatia ni mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la World vision Tanzania, Mary Lema.
Baadhi ya wadau wa afya waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN -MNCH) iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini...
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Zaidi ya Mil 60 zilizotengwa kwa sherehe za miaka 50 ya Mkoa wa Singida kutumia kununulia vifaa tiba


11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya
TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Jamii imetakiwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira yanayowazunguka kuboresha afya za famila zao
Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole, akiendesha mafunzo ya siku nne ya wanahabari na watangazaji wa redio jamii yaliyofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa kushirikiana na UNESCO yaliyofanyika katika ukumbi wa Kartasi uliopo wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.
Na Mwandishi wetu
Wito huo umetolewa na Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole katika semina ya siku nne kwa waandishi wa habari na...
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.
Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...
11 years ago
Habarileo02 May
Vijiji vyauza magogo ya Sh mil 203
VIJIJI vitano wilayani Kilwa katika Mkoa wa Lindi vilivyo kwenye mpango maalumu wa kusafirisha na kuuza magogo nje ya nchi, vimejipatia zaidi ya Sh milioni 203 kati ya mwaka jana na mwaka huu kutokana na mauzo hayo.
10 years ago
GPL