HAPATOSHI KESHOKUTWA DAR LIVE
![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydU9kRYjtoL3C8Dhz2Q0xOZS54s5lIVJMxMPKkSp4Ue78q-onzFKjez*MP1Tpl2U5K4nFJtnJceGvhCNZSzfxj5q/HAPATOSHIDARLIVEcopy.jpg?width=450)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iLgwPNMxsXc/VWV-jLB8SjI/AAAAAAAHaD8/ielIsSAy_64/s72-c/Komaa-Con.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dY1noMbzWX1jTw-lAlFGXbzh8A-UZKmPJY-qTGf0qUvNWFCTzn-U9Vg1vFV2jZHFq1wfqhFUgS2BTEUaSi9N8za/leo.jpg?width=650)
VALENTINE'S DAY: HAPATOSHI DAR LIVE LEO
Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf leo atakuwa ndani ya Dar Live kuwapa raha wapendanao. WAPENDANAO KUJIACHIA NA MZEE YUSUF HAKUNA haja ya kuhangaika leo katika sikukuu ya wapendanao, kiwanja ni kimoja tu, Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf atashusha shoo maalum kwa wapendanao katika ukumbi huo, hivyo burudani itachukua mkondo wake pamoja
na zawadi kibao...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8TqJyoypDJSVBwLBZTklzucGItpqi**5QYjhHv-GJgj9kl7MT*orIpVDhgr2h1Phnqf*7vzWukYuuetMwaSCPOA/DarLiveA3.jpg?width=750)
10 years ago
GPLLIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE
Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZsRJPe1cGBo/VUT7T0BEz9I/AAAAAAAHU5k/BcdGEUkkkEM/s72-c/cdm.jpg)
KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA DAR ES SALAAM KESHO NA KESHOKUTWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZsRJPe1cGBo/VUT7T0BEz9I/AAAAAAAHU5k/BcdGEUkkkEM/s1600/cdm.jpg)
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji wa chama, KK itapokea taarifa, kujadili na kufanya maamuzi kuhusu;1. Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UesLEJlagrA/U6K269L4PzI/AAAAAAAFrrQ/RWG18-x3Hcg/s72-c/unnamed.gif)
NEWS ALERT: SEHEMU YA BARABARA YA Ubungo Mataa Dar es salaam kufungwa kesho na keshokutwa usiku kupisha ujenzi
![](http://1.bp.blogspot.com/-UesLEJlagrA/U6K269L4PzI/AAAAAAAFrrQ/RWG18-x3Hcg/s1600/unnamed.gif)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnQP8REKXqJ0zTlXDt6LfKt7cFKoM7yAk-cPgWxYhqEdc6p1m4fs55U7PqcgbECYiFXizswSttVGDU1RB02trlLb/kibaaaaaaa.jpg)
MWANA DAR LIVE CONCERT: ALI KIBA, MSAGA SUMU, ISHA ‘LIVE’ NA WAANDISHI LEO
MFALME wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Mfalme wa Vigodoro, Msaga Sumu pamoja na Malkia wa Masauti, Isha Mashauzi wanatarajiwa kukutana na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza-Africasana, jijini Dar kabla ya kufanyika kwa shoo ya Mwana Dar Live Aprili 5, mwaka huu (Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba. Akizungumza na Showbiz,...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania