Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PATAKUWA HAPATOSHI DAR LIVE SIKU HIYO.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

Global Publishers

11 years ago

GPL

VALENTINE'S DAY: HAPATOSHI DAR LIVE LEO

Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf leo atakuwa ndani ya Dar Live kuwapa raha wapendanao. WAPENDANAO KUJIACHIA NA MZEE YUSUF HAKUNA haja ya kuhangaika leo katika sikukuu ya wapendanao, kiwanja ni kimoja tu, Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf atashusha shoo maalum kwa wapendanao katika ukumbi huo, hivyo burudani itachukua mkondo wake pamoja
na zawadi kibao...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ludacris afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Gabon siku hiyo hiyo aliyomchumbia

Ludacris sasa ni mume wa mtu. Rapper huyo na muigizaji mwenye miaka 37, Jumanne ya wiki hii ameshare picha za harusi yake na mpenzi wake wa muda mrefu Eudoxie Mbouguiengue ambaye ni raia wa Gabon. Katika picha hiyo Christopher Brian Bridges a.k.a Ludacris aliandika “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges”. Mke wake naye […]

 

10 years ago

GPL

LIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

MASTAA KUFURIKA... DAR LIVE SIKU YA KRISMASI

Na Mwandishi wetu
BURUDANI juu ya burudani! Mastaa mbalimbali wa filamu wanatarajiwa kufurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem jijini Dar, siku ya Krismasi katika tamasha maalumu lililopewa jina la Mtoko wa Mastaa, likiambatana na shoo ya nguvu yenye mchanganyiko wa Bongo Fleva, Hip Hop na Taarabu kutoka kwa wasanii nguli wa miondoko hiyo. Wema Sepetu. Siku hiyo, mashabiki watapata nafasi ya kupiga picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani