HAPO SASA NA CHRISTMAS HII MFUKO UMEBAKIWA NA HII KICHELE
Maladhi yote ugua lakini kucha usiombee
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo08 Nov
TICKET ZA $75 MWISHO JUMATATU HII NOV. 10 BAADA YA HAPO NI $100
10 years ago
Vijimambo9 years ago
MillardAyo24 Dec
Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’!
Ikiwa zimebaki saa chache kusherekea sikukuu ya Christmas kwa mwaka huu wa 2015, staa wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya ameungana na NdaniTV ya Nigeria kwa ajili ya kutoa live performance ya moja ya nyimbo maarufu za Christmas, ‘Come All Ye Faithful’. Hapa chini ni video ya live performance ya Iyanya ndani ya NdaniTV. Unataka kutumiwa […]
The post Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’! appeared first on...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..
Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]
The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
MichuziCULTURAL WARS SASA IMEKAMILIKA NA SASA UNAWEZA KUPATA COPY YAKO, PITIA HII TRAILER.
Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD na unaweza kupata “electronic Copy” Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo vijana wa Kitanzania hapa...
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video)
Kuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe… pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo alafu bado anatembea kama hajachinjwa hivi !! Hii ishu iliwahi kutawala sana mitandaoni huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina, kuku kachinjwa kwa ajili ya […]
The post Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.