Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HASNA ATTAI MASOUD AWA KADA WA 24 KUJITOSA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Mgombea wa 24 ni Bi Hasna Attai Masoud ambaye amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Leo

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Hashim Salum Hashim awa Kada wa 24 kuwania kiti cha Rais wa Zanzibar.


NA ANDREW CHALE,   ZANZIBAR.MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Hashim Salum Hashim (pichani) amekuwa Kada wa 24 kuchukua fomu ya kupata ridhaa ya chama  chake ya kuwa Rais wa Zanzibar.

Hashim Salum Hashim aliwasili majira ya saa Sita mchana na kisha kuchukua fomu hiyo na baadae alioata kuongea na waandishi wa Habari.
Akizungumza alisema:
"Nimekuwa Mwana CCM kwa muda mrefu na kwa miaka 15 nimeweza kuwa katika nyadhifa za kichama hadi sasa ikiwemo Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR, MMANGA MJENGO MJAWIRI AJITOSA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Kada wa Chama Cha Mapinduzi Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akichukua Fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM, akikabidhiwa na Katibu Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg.Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui...

 

5 years ago

CCM Blog

KADA WA 13 WA CCM, DK. ABDULHALIM MOHAMMED ALI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Abdulhalim Mohammed Ali katikati akitoka katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar baada ya kukamilisha uchukuaji wa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 13 wa CCM kuchukua fomu leo.Akikabidhiwa fomu





 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC), Ndg, Jecha Salum Jecha leo hii Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi



 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘kidedea’, kuwania urais Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF kimempitisha katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa mara ya tano.

 

9 years ago

Habarileo

Mwajuma ajitokeza kuwania Urais UPDP Zanzibar

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha UPDP, Mwajuma Ali Khamis amejitokeza katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu. Alikabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha.

 

9 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunda wafurahi Wasira kujitosa urais

Stephen Masato Wasira ni mwanasiasiasa nguli wa CCM; kada madhubuti ambaye chama kinajivunia kuwa naye. Amekuwapo katika awamu zote nne za uongozi akishika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani