Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haya ndio matokeo ya Simba dhidi ya Jamuhuri kutoka uwanja wa Amaan Zenji …

Bado michuano ya Kombe la Mapinduzi inaendelea visiwani Zanzibar, baada ya jioni ya January 4 kupigwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Unguja, usiku wa January 4 ukapigwa mchezo wa pili wa Kundi A kati ya Simba ya Dar Es Salaam na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo […]

The post Haya ndio matokeo ya Simba dhidi ya Jamuhuri kutoka uwanja wa Amaan Zenji … appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kuwadhibiti Simba, hiki ndio kichapo cha Jamuhuri walichokipata kutoka kwa wanajeshi …

Michuano ya Kombe la Mapinduzi January 6 iliendelea kama kawaida kwa mujibu wa ratiba January 6 itachezwa michezo miwili ya Kundi A. Mchezo mmoja tayari umemamlizika kati ya JKU dhidi ya Jamuhuri kutoka Pemba. Huu ulikuwa mchezo ambao JKU ilifanikiwa kupata ushindi wa jumla ya goli 3-0. Jamuhuri ambao walifanikiwa kuidhibiti Simba katika mchezo wa […]

The post Licha ya kuwadhibiti Simba, hiki ndio kichapo cha Jamuhuri walichokipata kutoka kwa wanajeshi … appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

9 years ago

MillardAyo

Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)

Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0. Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa […]

The post Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

HAYA NDIO YANAYOENDELEA UWANJA WA TAIFA HIVI SASA,MECHI BADO HAIJAANZA LAKINI VITI ZAIDI YA 20 VYANG'OLEWA

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida,Mashabiki wa timu ya Simba wameanza tena kung'oa viti vya kukalia uwanjani hapa na kuwatupia Mashabini wenzao wa Timu ya Yanga waliofurika kwa wingi uwanjani hapa,kwa kile kinachodaiwa kuwa hawataki kukaa nao sehemu moja.lakini kwa hali ilivyo hivi sasa Uwanjani hapa,ni dhahiri kabisa kuwa Mashabiki hao wa Yanga wanaweza kuujaza Uwanja huu hasa kwa jinsi wanavyozidi kuingia Uwanjani hapa.Uongozi wa Vilabu hivi viwili vikubwa hapa nchini unatakiwa kukaa...

 

9 years ago

MillardAyo

Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena usiku wa December 29 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, mchezo wa December 29 ulikuwa unazihusisha klabu za Leicester City dhidi ya klabu ya Manchester City. Uzuri wa mchezo huu ni kuwa vilabu vyote viwili vipo katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu kutokana na […]

The post Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani