Hemedy PHD kuachia ngoma mpya ‘Memories’ Oct 7
Muimbaji wa ‘Imebaki Story’, Hemedy PHD, amesema October 7 ataachia wimbo wake mpya uitwao ‘Memories.’ Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Don Villa Records. Amesema wimbo huo upo kwenye mahadhi ya R&B na ni wimbo tofauti. Video ya wimbo huo imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studios itakayotoka baada ya uchaguzi. Jiunge […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Oct
Music: Hemedy PHD — Memories
Msanii Hemedy PHD baada ya kufanya vizuri na wimbo “Imebaki Story” amechia wimbo mpya unaitwa “Memories” usikilize hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-iE3ISySjD2M/Vh5r0PBYWyI/AAAAAAAADts/ukbn9l4Yk90/s72-c/artist_7677f3d5b3b2763e8f794d3eb31a9b58586b.jpg)
NEW MUSIC: HEMEDY PHD - MEMORIES (Download)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iE3ISySjD2M/Vh5r0PBYWyI/AAAAAAAADts/ukbn9l4Yk90/s640/artist_7677f3d5b3b2763e8f794d3eb31a9b58586b.jpg)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo518 Sep
Hemedy PHD aahidi kuachia album yake ya kwanza ‘VIRGO’ February mwakani
Hemedy PHD amesema kuwa anatarajia kuachia album yake ya kwanza ifikapo mwezi February mwakani 2016. Muimbaji huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, amesema album yake hiyo ya muziki itaitwa ‘Virgo’ na itakuwa na jumla ya nyimbo 18. Hiki ndicho ameandika kupitia Instagram; “INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT!THE ALBUM […]
9 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
Roma Mkatoliki ameamua kuchukua jukumu la kwenda Baraza La Sanaa Tanzania, BASATA kuwasikilizisha wimbo wake mpya anaotarajia kuuachia Jumapili siku ya uchaguzi Oct.25 ili waupe baraka kuepuka kufungiwa. Uamuzi huo umekuja kutokana na misukosuko aliyokutana nayo baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ hivi karibuni, ambao BASATA waliufungia kutokana na madai kuwa hakuna […]
9 years ago
Bongo530 Oct
Uchaguzi wamtia hofu Dayna kuachia ngoma mpya
![11371220_171295669876422_785758852_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/11371220_171295669876422_785758852_n-94x94.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania