Uchaguzi wamtia hofu Dayna kuachia ngoma mpya
Dayna Nyange amesema amewaandalia kazi nyingi mashabiki wake lakini anashindwa kuziachia kutokana vuguvugu la uchaguzi linaloendelea. Akizungumza na Bongo5 leo, Dayna amesema ingawa uchaguzi umepita lakini bado masikio ya watanzania hayako sawa kupokea muziki mpya. “Bado watanzania ndio wanatoka kwenye uchovu wa uchaguzi, nina nyimbo nyingi ila siwezi kutoa kwa sababu bado naona hali si […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Hemedy PHD kuachia ngoma mpya ‘Memories’ Oct 7
Muimbaji wa ‘Imebaki Story’, Hemedy PHD, amesema October 7 ataachia wimbo wake mpya uitwao ‘Memories.’ Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Don Villa Records. Amesema wimbo huo upo kwenye mahadhi ya R&B na ni wimbo tofauti. Video ya wimbo huo imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studios itakayotoka baada ya uchaguzi. Jiunge […]
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vPum94jOhD4/U9Y9CHPJ8II/AAAAAAAF7XA/WKuMMF00Ihc/s72-c/unnamed+(10).jpg)
happy Balice kuachia ngoma mpya agosti 11,2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-vPum94jOhD4/U9Y9CHPJ8II/AAAAAAAF7XA/WKuMMF00Ihc/s1600/unnamed+(10).jpg)
9 years ago
GPLMO MUSIC ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ NA KUACHIA NGOMA MPYA
Mo Music akifungua shampeni baada ya kubadilisha nguo alizoloweshwa alipomwagiwa maji. Mo Music akimlisha keki mkali wa Bongo Fleva, Heri Samiry ‘Mr. Blue’ (kulia). Mo Music akimlisha keki msanii wa muziki Bongo, Ally Timbulo (kulia).…
9 years ago
Bongo508 Oct
Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi
Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]
9 years ago
Bongo501 Oct
Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’
Q-Chief amejipanga vizuri kuumaliza vizuri mwaka wa 2015 ambao umeonekana kuwa mwaka mzuri kwa upande wake, akiwa amefanikiwa kuachia video mbili kali alizoshoot Afrika Kusini na muongozaji wa Tanzania, Adam Juma. Katika kuumaliza mwaka Q-Chief amesema amejipanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba mara tu baada ya uchaguzi, na ameutaja wimbo anaotarajia kuja nao unaitwa ‘Chawa’. […]
9 years ago
Bongo530 Sep
Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi
Wakati wasanii wengi wakiogopa kuachia nyimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kutopata muda wa kusikilizwa, Ben Pol ameeleza sababu zilizomfanya kutohofia kufanya hivyo. Ben Pol aliyeachia wimbo ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha msanii wa Kenya, Avril na Rossie M ametaja sababu tatu za kuachia wimbo huo. “Moja sina wimbo official tangia mwaka umeanza,” amesema Ben. […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania