happy Balice kuachia ngoma mpya agosti 11,2014
.jpg)
Msanii wa bongo flava Happy Balice anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la liar tarehe 11/08/2014. ngoma hiyo iliyopikwa katika studio za Rocfame Music chini ya producer Hans Q.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Oct
Uchaguzi wamtia hofu Dayna kuachia ngoma mpya

10 years ago
Bongo530 Sep
Hemedy PHD kuachia ngoma mpya ‘Memories’ Oct 7
Muimbaji wa ‘Imebaki Story’, Hemedy PHD, amesema October 7 ataachia wimbo wake mpya uitwao ‘Memories.’ Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Don Villa Records. Amesema wimbo huo upo kwenye mahadhi ya R&B na ni wimbo tofauti. Video ya wimbo huo imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studios itakayotoka baada ya uchaguzi. Jiunge […]
9 years ago
GPLMO MUSIC ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ NA KUACHIA NGOMA MPYA
Mo Music akifungua shampeni baada ya kubadilisha nguo alizoloweshwa alipomwagiwa maji. Mo Music akimlisha keki mkali wa Bongo Fleva, Heri Samiry ‘Mr. Blue’ (kulia). Mo Music akimlisha keki msanii wa muziki Bongo, Ally Timbulo (kulia).…
11 years ago
Michuzi06 Aug
11 years ago
GPL
11 years ago
Bongo516 Sep
G-Nako kuachia ngoma mbili kwa mpigo Jumanne ijayo
Rapper wa kampuni ya Weusi, G-Nako anatarajia kuachia ngoma mbili kwa mpigo Jumanne ijayo. Awali ya hapo rapper huyo aliwahi kuiambia Bongo5 kuwa yupo kwenye njia panda kuamua wimbo wake mpya wa kuachia kwakuwa amerekodi nyimbo nyingi na kali. Kutokana na hali hiyo, rapper huyo wa Arusha alisema anafikiria kutumia watu wengine wamsaidie kuamua wimbo […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania