Hii Ndiyo ‘Bastola’ ya Wolper
Bastola yangu popote niendapo npo na Ulinzi wangu. Napenda kuwashukuru Sana wazazi wangu kwakunufundisha kuwa na hofu ya Mungu nakulisoma neno lake pindi nipatapo Muda sehemu yoyote, muda wowote nipatapo Muda basi niutumie muda huo japo kutambua Yu mwema kwangu. Kuliko kufanya vingi visivyompendeza yeye pasipo kusahau Ata angalau kusoma mistari miwili tuu kwenye kitabu kitakatifu cha maandiko ya Mungu. Hapa nipo safarini nitakua kwenye ndege kwa Muda wa masaa 6 nitatumia muda huu japo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Ot-zTVQwYNM/VRd4kgTsLiI/AAAAAAADd58/uk-P3sNRuTs/s72-c/49ab84e66ca4c1f3da558e1faa066a1d.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bc8y1SjMhcQ/VVEc4KEJFvI/AAAAAAADmtA/skPA_-iEQ3Y/s72-c/11255786_10206667190668321_4069840413929546228_n.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aZf3InMwKow/VI8tm514dNI/AAAAAAAArNc/LpTM7MX-0TI/s72-c/a.espncdn.jpg)
9 years ago
Bongo Movies03 Sep
Haya Ndiyo Maneno ya Wolper Baada ya Kuvalishwa Pete
Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.
”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu.. dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat...
9 years ago
Raia Mwema03 Nov
Hii ndiyo Tanzania
KUNA usemi wa wahenga kwamba, majaribu yasipokuua yanakuimarisha zaidi, Tanzania kama taifa, lime
Mwandishi Wetu
10 years ago
Vijimambo27 Sep
10 years ago
Vijimambo24 Jul
HII NDIYO KAGAME CUP
TIMUPWDLGDPTS1Khartoum2200662Gor Mahia2200363Young Africans FC2101234KMKM3102-235Telecom3003-90Kundi B
TIMUPWDLGDPTS1APR3300492AlShandy3111043LLB AFC3021-124Heegan3012-31Kundi C
TIMUPWDLGDPTS1Azam FC2200362KCC FC2101033Malakia2101-134Adama City2002-20
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Hii ndiyo ‘serikali’ ya Bodaboda
10 years ago
Vijimambo24 Feb
MWANAMKE ATTITUDE HABARI NDIYO HII
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/joti778.jpg)
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni moja...