Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HII NI MOJA YA VITUO VYA UPIGAJI KURA NDANI YA MJI WA MORO

Watu wapo kwenye mzani tayari kwa kutaka kupiga kura huko Moro mjini kasoro bahari.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO MALIZENI MIRADI YA MAJI NDANI YA MKATABA SANJARI NA KUFUNGA VIFAA VYA VITUO VYA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha alipofanya ziara ya kutembelea Kituo cha Afya Kaloleni kujionea shughuli mbalimbali kwenye kituo hicho ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tatu kukagua miradi ya Afya na Maji kwenye Halmashauri zote za mkoa huo hii ikiwa ni ziara yake kwenye halmashauri ya jiji la Arusha mwishoni mwaka wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

9 years ago

Mwananchi

RC: Wasiojiandikisha marufuku vituo vya kura

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga amewapiga marufuku wananchi ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura kwenda kwenye maeneo ya vituo cha kupigia kura ili kuepusha kuzuka kwa vurugu zitakazosababisha uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vituo 100 vya kura vyachomwa Bangladesh

Karibu vituo vya kupigia kura 100 Bangladesh kwenye wilaya zipatazo ishirini nchini humo, vimechomwa moto wakati nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi siku ya Jumapili.

 

9 years ago

Vijimambo

UFAFANUZI WA IDADI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA OKTOBA 25


Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani  amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI  ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO...

 

11 years ago

Mwananchi

Vituo vya kupigia kura kuongezeka maradufu nchini

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 vitaongezeka mara mbili zaidi ya vile vilivyotumika katika uchaguzi uliopita.

 

9 years ago

Michuzi

TUME YAWAASA WANANCHI KUTOSIMAMA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA

Na Anitha Jonas- Maelezo7/10/2015Dar es salaamTume ya Taifa ya uchaguzi nchini amewaasa wananchi kutosimama katika vituo vya kupiga kura mara baada ya kupiga kura oktoba 25 mwaka huu kwani mawakala wa vyama vya siasa wa kuwepo katika vituo vya kupigia kura ili kulinda maslahi ya chama pamoja na wagombea wao.
Wito huo umetolewa na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva alipokuwa akifungua mkutano wa tume  na waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi na makamanda...

 

9 years ago

Mwananchi

Askari Handeni watishia kugoma kusimamia vituo vya kupigia kura

Askari mgambo 114 wilayani Handeni wametishia kugoma kwenda kusimamia vituo vya kupigia kura kutokana na kutolipwa fedha zao kama walivyokubaliana na mkurugenzi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura

Wapiga kura Tanzania walifika vituoni mapema kupiga kura kuwachagua viongozi wapya. Wanamchagua rais mpya, wabunge na madiwani. Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na baadhi yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani