Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hili Game, Burger Movie Selfie na One More Night ipi imekubamba?

tatu

Jumatatu ya December 7 ilibarikiwa kwa kazi tatu mpya. Hili Game ya Jay Moe, Burger Movie Selfie ya Belle 9 na One More Night ya Jux.

tatu

Belle alianza kwanza kuachia video yake. Lakini ipi iliyokubamba zaidi?

Hili Game – Jay Moe

Jay Moe alikuwa kimya kwa takriban miaka mitatu. Ameungana tena na producer wake wa siku nyingi, P-Funk Majani wa Bongo Records. Kwenye Hili Game Moe anazungumzia mabadiliko makubwa yaliyotokea kwenye muziki wa Tanzania. “Kila mtu amekuwa msanii wachache ndio...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

New Video: Belle 9 – Burger Movie Selfie

burger belle

Msanii wa RnB kutoka mji kasoro bahari, Morogoro, Abednego “Belle 9” Damian ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Burger Movie Selfie’ alioutambulisha Jumatatu Dec 7. Video hii imeongozwa na director GQ kutoka Morogoro, imeshutiwa Morogoro na producer wa wimbo Tiddy Hotter pia ni kutoka Morogoro. Itazame

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Belle 9 – Burger Movie Selfie

Belle burger

Belle 9 aka Belle tisa ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao ‘Burger Movie Selfie’ leo Jumatatu ya Dec7.

Belle burger

Wimbo huu umetayarishwa na producer Tiddy Hotter na video yake ambayo Trace walisema itaanza kuoneshwa wiki hii kupitia kituo hicho imeshutiwa nyumbani kwao Morogoro.

“Story fupi ya mapenzi: Warembo wanapenda BURGER Wanapenda MOVIES wanapenda kupiga SELFIE #BURGERMOVIESELFIE” aliandika Belle Instagram kuhusu wimbo huo.

Usikilize hapa
BURGER MOVIE SELFIE

Jiunge na Bongo5.com...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: BELLE 9 - BURGER MOVIE SELFIE (Download with Lyrics)




LYRICS
VERSE 1toka nimuone sura haipoteiiihnashindwa kubadili profile picha watsap/najaribu kusubiri moyo haungojei/for the first time I dedicate this track(huuuuuuh)njoo nikuoneshe nini unatakiwa upate mtoto mzuri mzuri kaama weeeh/(huuuuuuh)the best couple in this world we na belledaily baby hold me tight/
PRE CHORUS
burger movie selfie popcorn (anataka yeeh)burger movie selfie kiss and hug (anataka yeeeh)
CHORUS(yeeeeeh) ameniweza(yeeeeeeeh)tunapendeza(yeeeeeeeeh)hoooh...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: BELLE 9 - BURGER MOVIE SELFIE (Official Video)




Published on Nov 30, 2015Belle 9 Performing His New Trap Song BURGER MOVIE SELFIE. Audio Produced by Tiddy Hotter And Video Directed by GQ
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Jay Moe Ft Deddy – Hili Game

jay Mo

Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe baada ya kimya karudi na wimbo mpya unaitwa “Hili Game”, Amemshirikisha Deddy Producer P-Funk Majani ndani ya studio za Bongo Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

Zuriel Oduwole Steals The Show at Africas Biggest Movie Awards Night - 2014 Nollywood Movies Awards

It was billed as the Centenary Celebrations edition of the 2014 Nollywood Movies Awards night at the prestigious Intercontinental Hotel in Victoria Island - Lagos last Saturday. The actors, producers, directors, and movie faithful filed past the "Red Carpet" into the events main auditorium. However, the star attraction right from the Red Carpet was a new face to Nigeria's movie making industry.
Zuriel Oduwole, at 12 years old was a fresh, young, bright, and eloquent attraction, from the...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani