HISTORIA YA BUNGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-L5pA2ViSyIU/VYp6ti51udI/AAAAAAAHjVE/5_FqABl2DIE/s72-c/Jengo-la-Bunge-la-Jamhuri-ya-Muungano-wa-Tanzania.jpg)
Utangulizi
Bunge ni nini?-Bunge ni chombo cha uwakilishi wa Watu. Chombo hiki kina sehemu Kuu mbili: a)Wabunge (National Assembly) na b) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanzia tarehe 19 Machi 1926 siku ambayo Bunge la Uingereza lilipisha sheria iliyoitwa “The Tanganyika Legislative Council Order in Council, 1926.
Tanganyika wakati huo ilikuwa chini ya utawala wa Uingereza ambapo ilikuwa imepewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Sitta ataweka historia Bunge Maalumu
UJIO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, katika nafasi ya kuliongoza Bunge hilo la historia, inaweza kuweka historia ya kutengeneza katiba ile tunayohitaji na itamweka Rais Jakaya...