Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOFU MTOTO WA ZARI KUFIA TUMBONI

STORI: MWANDISHI WETU HABARI ya mjini kwa sasa ni mjadala mzito mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, mpenzi wa sasa wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anaweza kumuua motto aliye tumboni kutokana na tabia yake ya kuvaa viatu vyenye visigino virefu (high hills) katika kipindi hiki cha ujauzito. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1LJqtew ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Msongo humwathiri mtoto tumboni

WIKI iliyopita tuliona jinsi ambavyo msongo wa mawazo unavyoweza kuathiri utungaji wa mimba. Kwa kuwa msongo wa mawazo una athari zaidi ya hiyo, nimeona ni vema kwa wiki hii, kabla...

 

10 years ago

GPL

MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA

Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack  ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye. Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake. Awali ilibainika kuwa,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife yahimiza uhai wa mtoto tumboni

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu la Prolife limewataka Watanzania kuthamini uhai wa mtoto toka mimba inapotungwa ili kufuatana na misingi ya imani. Akizungumza baada ya ibada ya Krismasi, jijini...

 

10 years ago

Bongo Movies

MKASA:Amanda asimulia mkasa wakufiwa na mchumba wake ghafla na kumuachia mimba lakini mtoto akafia tumboni

"....Kwenye hii dunia ukizaliwa mpaka unakufa lazima kuna mitihani binaadam utaipitia ,toka nimezaliwa me Amanda mpaka leo hii nimepitia mitihani migumu sana ...lakini katika mitihani yooote hakuna mtihani unaokataa kuondoka ndani ya kichwa changu kama ule niliyowahi kufiwa na mchumba angu tena ghafla nusu saa baada ya kuongea nae na kuniachia mimba then mtoto akafia tumboni....

Kiukweli nilijifunza sana na ndio maana mpaka leo uwa naamini kila mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa...

 

9 years ago

GPL

40 MTOTO WA ZARI

Imelda Mtema MTOTO wa staa naye ni staa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuwepo kwa mipango kabambe ya kufanikisha sherehe ya kumtoa mtoto (arobaini) wa mjasiriamali maarufu Zarinah Hassani ‘Zari The Boss Lady’, Tiffah, Risasi Jumamosi limenasa mchapo kamili.  ...Soma zaidi====>http://goo.gl/symAbe

 

10 years ago

GPL

KUMUONA MTOTO WA ZARI, MIL.20

AMA kweli Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mama Kijacho, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, sasa ni wa kimataifa zaidi ambapo wakati mwanamama huyo akijiandaa kujifungua, tayari mtoto ajaye ameandaliwa chumba maalum cha kulala na gharama za kumuona kwa atakayehitaji picha hasa za kwenye vyombo vya habari, itakuwa si chini ya Sh. milioni 20. Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari ajifungua mtoto wa kike

MTOTO WA ZARI
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.


Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: ZARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari’. MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema...

 

10 years ago

CloudsFM

Unaijua ‘jinsia’ ya mtoto wa Zari na Diamond?

Shauku ya kumsubiria mtoto atakayezaliwa na mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnuz,Zari imekuwa kubwa sana kwa mastaa hao baada ya kupost picha ya watoto wawili wa kike na wa kiume huku Zari akiandika A or B?Kupitia account zao za Instagram waliweka picha picha hizo huku mashabiki wengi wakipigia kura picha A ikionyesha kuwa mtoto wao atakuwa wa kike.Baadhi ya mashabiki waliopigia kura picha A kombaclara Bbbbbb 1h
happyjanuary91 A mum
pendomagere A 1h
rucrasure A 24min

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani