Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOJA MTAMBUKA YA SAID MWINSHEHE

KWA HALI ILIVYO CCM MNAPASWA KUWA NA FOMU MOJA  TU YA MGOMBEA URAIS, TENA IWE YA JPM  
Na Saidi Mwinshehe (Pichani)
LAZIMA tukubaliane kabisa na wewe ambaye umeamua kwa hiyari yako kusoma hiki ambacho nakiandika. Tukubaliane tu utasoma kuanzia mwanzo hadi mwisho.Ndio lazima iwe hivyo.

Ujue katika maisha haya kuna watu vichwa ngumu kidogo, yaani hata wewe fikiria unatumia muda mwingi kuandika kitu, alafu anatokea msomaji anasoma hapo juu na kisha anaacha.Sio vizuri jamani...tukubaliane tu leo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

HOJA MTAMBUKA: MEMBE ACHANA NA NDOTO KUBALI YAISHE, MUDA SI RAFIKI KWAKO TENA NA HUNA UBAVU WA KUMNYANYUA DK. MAGUFILI KWENYE KITI CHA URAIS

KUNA nyakati lazima ukubali kushindwa na kuendelea na mambo mengine. Ndicho anachotakiwa kukifanya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe hasa kutokana na namna anavyozicheza siasa zake mara kwa mara.

Kwa uwezo na maarifa ya Membe kwa taifa alipaswa kuwa mstari wa mbele kueneza mambo mazuri yanayofanywa na serikali na si kuwa sehemu ya kuanzisha taharuki zisizokuwa na mantiki kwa taifa na hasa sisi vijana, ambao tunaamini wao ndio wakutuongoza vyema na si...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani