Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HONGERA ASHA BARAKA KWA KUTAMBUA HILO!

KWAKO,
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka. Pole na majukumu ya kazi zako za kila siku. Kwa muda mrefu sana hatujaonana, najua ni kutokana na mchakamchaka wa maisha ya kila siku. Asha Baraka. Najua una maumivu ya kupoteza jembe lako, mpiga tumba wa muda mrefu wa bendi yako ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ marehemu Masoud Mohamed ‘MCD’. Pole sana sister ‘angu. Ndiyo dunia, sote tu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hongera Alli Chocky na Asha Baraka

Kwa wapenzi wa muziki nchini jina la Alli Chocky si geni masikioni mwa wengi. Chocky ameweza kudumu katika muziki wa dansi kwa muda mrefu akiwa katika bendi mbalimbali ikiwamo Twanga Pepeta.

 

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA AMUONYA DIAMOND KWA UNGA

Na Laurent Samatta
Mkurungezi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kutojaribu kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya na kusema akijaribu atapotea. Mkurungezi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka. Akizungumza na Ijumaa hivi karubini, Asha Baraka ‘Iron...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE ASHA BARAKA AOLEWA

Stori: Waandishi Wetu  WERAWERAAA! Baada ya kuishi kwa muda mrefu tangu alipotengana na mumewe Khamis Bwela, Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita alifunga ndoa na mfanyabiashara maarufu Dar aitwaye Idd Baka Pandisha, Ijumaa Wikienda lina mzigo kamili. Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’,...

 

11 years ago

GPL

ASHA BARAKA: SITAMSAMEHE CHOKI

Stori: Paparazi Wetu
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka, amesema kamwe hawezi kumsamehe mwanamuziki Ally Choki ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, ambaye ana bifu naye la muda mrefu. Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka akifunguka jambo katika ofisi za Global Publishers, zilizopo Bamaga Mwenge. Hivi karibuni habari zilienea kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo

 Dkt  MUSA LEONARDMDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa Katoliki Vijana kikatoliki lililofanyika katika kijiji cha Ulete mkoani Iringa.Sehemu  ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo. Baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza  Dkt. Mdede. Kwa habari kamili na picha zaidi.
BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

GLOBAL ILIVYOWAPATANISHA CHOKI, ASHA BARAKA!

Stori: Nyemo Chilongani/Ijumaa Wikienda
WAMEPATANA! Hatimaye Kampuni ya Global Publishers inayochapa gazeti hili na mengine ya Ijumaa, Uwazi, Risasi, Amani na Championi imefanikiwa kuwapatanisha wale mahasimu wawili ambao ni viongozi wa bendi mbili tofauti, Mkurugenzi wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mwenzake wa Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo Staili’, Ali...

 

11 years ago

GPL

ASHA BARAKA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Asha Baraka akiwa tayari kwa mahojiano na Global TV Online ndani ya ofisi za Global Publishers. Asha Baraka akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA, RUGE WAWATOLEA UVIVU MASTAA

Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Asha Baraka. Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe. Wakizungumza katika mahojiano maalum na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani