Hotuba ya kwanza ya Papa Francis Afrika
Papa Francis ametoa hotuba yake ya kwanza baada ya kutua Kenya akihimiza umoja, kuwathamini vijali na kuyajali mazingira.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.
Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
MOJA KWA MOJA: Ziara ya Papa Francis Afrika
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Obama kukutana na Papa Francis
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Papa Francis kumfufua Nyerere
*Mama Maria Nyerere atangulia Uganda
NA MWANDISHI WETU
ZIARA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis nchini Uganda imetajwa kuwa itafufua mchakato wa kumtangaza Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu.
Kwa mujibu wa mtandao wa ETN wa nchini Uganda, ziara hiyo ya kitume ya Papa Francis itamfikisha katika eneo la Namugongo ambalo mashahidi wa imani ya dini ya Kikristu walichomwa moto.
Ni katika eneo hilo la Namugongo ambako Hayati Nyerere alitangazwa kuwa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-A61dn6C-XI4/Xn1Q8fN9rFI/AAAAAAAC12g/zUrYcW76WXo4KV3FImXqW_3MwXcMwEbfwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.webp)
PAPA FRANCIS APIMWA CONONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-A61dn6C-XI4/Xn1Q8fN9rFI/AAAAAAAC12g/zUrYcW76WXo4KV3FImXqW_3MwXcMwEbfwCLcBGAsYHQ/s640/1.webp)
Papa Francis alipimwa virusi hivyo baada ya mmoja wa wachungaji anayeishi katika katika makazi yake kugundulika kuwa na corona.
Vyombo vya habari nchini Italia viliripoti kuwa mchungaji huyo ambaye ni ofisa wa sekretarieti ya jimbo aligundulika kuwa na virusi vya corona na kuzua hofu kuwa huenda Papa Francis naye ameambukizwa.
Kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Vatican,...
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Maandalizi ya ziara ya Papa Francis
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Papa Francis azungumzia familia
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Ziara ya Papa Francis, Kenya