Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOUSTON TEXAS KUWAKA MOTO WA SIFA WAKATI WA SHEREHE ZA KRISMASI.

Kanisa la Agape (Agape Family Church) Houston Texas likiongozwa na Mtumishi Elisha limeandaa maadhimisho ya kipekee ya Krismasi yatakayofanyika Houston Texas kwa siku mbili yaani 24 na 25 Desemba 2015. Habari zaidi soma kipeperushi hapa chini. Inline image 1

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION HOUSTON, TEXAS LEO KUWAKA MOTO WACHEZAJI WENGI NDANI YA NYUMBA

 Timu ya Pazi wanaume wakipata picha ya pamoja na mashabiki wao walipokua nyumbani kwa madikodiko ambaye pia ni mmoja wa waratimu wa tamasha hili la kumbukumbu ya timu hiyo iliyowika miaka mingi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Tamasha hili lililobeba jina la Pazi Reunion litafikia tamati leo Jumamosi March 14, 2015 kwa mechi kadhaa na kuakumbuka na kuaenzi viongozi na wachezaji wa timu hiyo waliotangulia mbele ya haki. Pazi Queens wakiwa katika picha ya pamoja leo...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION MAMBO YAZIDI KUPAMBA MOTO HOUSTON, TEXAS


 Watatu toka kushoto ni Richard Kasesela alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Pazi ReUnion USA. Mabo yazidi kupamba moto Houston Texas



Mdau Richard Kasesela ( Wapili kulia) alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas

Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa  Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan.
 Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...

 

10 years ago

Vijimambo

Texas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas

 Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa  Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan. Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo..
 Baada ya takriban...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU TOKA HOUSTON, TEXAS


Wadau wa H Town wakipata picha ya pamoja wakati walipovinjali Dave & Busters kutoka kushoto ni Ally Mjungu, Juma Kitenge, Jose Mlaki, Saidi Nusura na Gasper Assenga 

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA

Marehemu Edmund Mushi enzi za uhai wakeWanajumuiya,
Kwa masikitiko makubwa, tunasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya mwenzetu Bw. Edmund Mushi.
Ndugu yetu Edmund amefikwa na mauti usiku wa kuamkia leo June 23, 2015 katika hospital ya Houston Northwest Medical Center alipokuwa amelazwa.
Tunatoa wito kwa wanajumuiya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Taarifa zaidi za hatua itakayofuata zitatolewa mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha wanandugu wa karibu baadaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani