Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hussein Machozi atangaza kuacha muziki!

hussein_machozi

Hussein Machozi ametangaza uamuzi wake wa kuacha kufanya muziki kutokana na kuona kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kupitia muziki kwa muda mrefu .

hussein

Machozi ambaye jina lake halisi ni Hussein Rashid ni msanii wa Bongo fleva wa muda mrefu ambaye amewahi kutengeneza hits kadhaa ikiwemo ‘Kwaajili Yako, ‘Utaipenda’, Full Shangwe, na zingine.

Hussein ametangaza uamuzi huo kupitia Planet Bongo ya East Africa radio.

“Kubwa ambalo nataka niwasimulie Watanzania ambalo ninalo leo hii kwamba very...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hussein Machozi asema ameng’atuka kwenye muziki kukwepa vishawishi vya kutumia dawa za kulevya

machozi-2

Hussein Machozi ambaye hapo jana ametangaza kuachana na muziki amesema kuwa kuna wasanii wengi ambao hujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutoka na stress.

machozi-2

Stress anazozizungumzia Hussein ni pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki kama ilivyomtokea yeye, na pia maneno ya watu wanaowasema vibaya wasanii wanaoamua kuachana na muziki kuwa wamefulia.

“Ngoja leo niwaeleze jambo watanzania unajua kuambiwa umefulia inaumiza sana, hivyo kuna kundi kubwa la wasanii wameingia katika...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI, FILAMU

Na Gladness Mallya
IKIWA imepita miezi kadhaa tangu anaswe katika mtego  wa kujiuza na makachero wa OFM ya Global Publishers, staa wa Bongo, Baby Madaha ametangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa amechoshwa na  maisha ya presha. Akistorisha na paparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, Madaha alisema ishu ile imemsababishia matatizo makubwa ya kifamilia na hata kibiashara, hivyo kujutia mchezo...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hussein Machozi — Msinitimue

Hii ni video mpya ya wimbo wa HUSSEIN MACHOZI unaitwa “Msinitimue”..wimbo huu unazungumzia MIRATHI ..HUSSEIN MACHOZI ameamua kuvaa uhusika katika wimbo huu kama mtu aliechaguliwa kusoma husia ulio andikwa na marehemu,,HUSSEIN MACHOZI alitimuliwa na wahusika ambao waliokua wakitaka kudhulumu MALI ambazo zinawahusu familia ya marehemu Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU


Na Musa Mateja
Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii...

 

10 years ago

Africanjam.Com

11 years ago

Tanzania Daima

Hussein Machozi afunguka sakata la kufumaniwa Kenya

MWANAMUZIKI aliyoibuliwa na wimbo wa ‘kwa ajili yako’ Hussein Machozi amefunguka na kuelezea tukio la kufumaniwa na mke wa mwanasiasa nchini Kenya na kudai kuwa jambo hilo halina ukweli wowote....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani