HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU
![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor99OWznpSVXWYjMBR1sUgGRp*8PxdHNawaBgAoF1QDqDbRVJM466wro8XtMiGmI8j4kB4qatoR**HiXGr4Bge10d/Machozi.jpg?width=650)
Na Musa Mateja Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoYsEUaQXGOdWAqOHnqGzGQKJZWkQMVf8powkTmsy2jflsN1WOenObFtu4RTE01vrjI7IVAaLOJxb0aoB*7uFlp7/amanda.jpg)
AMANDA ANASWA NA KIJEBA CHA KIZUNGU
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/f-LpCdJjsL8/default.jpg)
9 years ago
Bongo515 Sep
Video: Hussein Machozi — Msinitimue
9 years ago
Bongo509 Dec
Hussein Machozi atangaza kuacha muziki!
![hussein_machozi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hussein_machozi-300x194.jpg)
Hussein Machozi ametangaza uamuzi wake wa kuacha kufanya muziki kutokana na kuona kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kupitia muziki kwa muda mrefu .
Machozi ambaye jina lake halisi ni Hussein Rashid ni msanii wa Bongo fleva wa muda mrefu ambaye amewahi kutengeneza hits kadhaa ikiwemo ‘Kwaajili Yako, ‘Utaipenda’, Full Shangwe, na zingine.
Hussein ametangaza uamuzi huo kupitia Planet Bongo ya East Africa radio.
“Kubwa ambalo nataka niwasimulie Watanzania ambalo ninalo leo hii kwamba very...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-mTRUjrkOJow/VXP8wnCuyFI/AAAAAAAAB8c/DjQrZR-f6Ks/s72-c/ulikuwa%2Bwapi%2Bartwork.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvR4hwcZfk*ivhNc-vp1ogOPVduX9CBuOY9PNDkAsVQU-LHpzOi6j5uUU2GPXbVNnndtQyThr3LBJR3lUaZMMYQ0/Kalama.jpg)
KABLA YA KUVISHWA PETE, ISABELLA ANASWA NA MCHEPUKO
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Hussein Machozi asema bado yupo hai