Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABLA YA KUVISHWA PETE, ISABELLA ANASWA NA MCHEPUKO

Issa mnally
AMA kweli duniani kuna mambo! Mdada anayehangaika kutafuta jina katika tasnia ya muziki wa Kibongo, Isabella Mpanda ‘Bella’ aliitia doa sherehe yake ya kuvishwa pete ya uchumba baada ya kunaswa akidendeka na mchepuko dakika chache kabla ya tukio hilo muhimu. Mbongo Fleva Masoud Karama ‘Luteni Kalama’ akimvisha pete mpenzi wake wa kitambo, Isabella Mpanda ‘Bella’. Msanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Utata waibuka Baada ya Wolper Kuvishwa Pete

Baada ya hivi majuzi staa wa Bongo Movies,  Jacqueline Wolper  ‘Jacqueline Lowassa’ kuwepa picha mtandaoni akivishwa pete na mchamba wake,siku  ya jana kumeibuka  habari za udaku sambamba na picha zikimuonyesha jamaa huyo aliyemchumbia Wolper akiwa kwenye kwenye vazi la harusi na mwanamke ambaye inasemekana ni mkeo.

Habari hizo ambazo hazijathibitishwa na jamaa huyo wala Wolper zinadai kuwa jamaa ni mme wa mtu wa  ndoa  ya mwaka 2014 nchini Congo na kwa sasa mkeo yupo nchini humo akiwa hana...

 

10 years ago

GPL

HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU


Na Musa Mateja
Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii...

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA

Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa na ‘mtu’ wake ambaye si raia wa Tanzania. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa Lucy alipigwa chapo akiwa na pete hiyo kwenye msiba wa...

 

9 years ago

GPL

ISABELLA ATUMIKA KUWAUZA WASICHANA MTANDAONI

‘Muuza nyago’ kupitia muziki na filamu hapa Bongo, Isabella Mpanda. Na Hamida Hassan ‘MUUZA nyago’ kupitia muziki na filamu hapa Bongo, Isabella Mpanda amekwaa skendo ya kuuza wasichana kwa mapedeshee, kufuatia jina lake kutumiwa na mtu ambaye jina lake halisi halikupatikana mara moja, ambaye anajitambulisha kwa jina la msanii huyo. Mpashaji wa habari hii ambaye ni rafiki wa karibu na Isabella aliliambia gazeti hili...

 

5 years ago

The Citizen Daily

‘I am doing fine’, says Isabella, Tanzania’s first Coronavirus patient

‘I am doing fine’, says Isabella, Tanzania’s first Coronavirus patient  The Citizen DailyTanzanian coronavirus patient apologises for bringing COVID-19 to country  Breaking NEWS in KENYA for Today Right Now & Kenyan News | TUKOView Full coverage on Google News

 

11 years ago

GPL

LUTENI KALAMA, ISABELLA MPANDA NAO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Bella na Kalama wakipozi ndani ya Global TV Online usiku huu. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’ leo nao wapo ndani ya Global TV Online kwa ajlii ya mahojiano kwenye kipindi cha Mtu Kati!

 

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol waonesha mpango wa kutaka kumshirikisha John Legend kwenye remix ya wimbo wao mpya ‘Isabella ’

Ikiwa ni wiki moja tu imepita toka Sauti Sol watoe wimbo mpya ‘Isabella’, ikiwa ni single yao ya sita kutoka kwenye album yao ijayo ya tatu, bendi hiyo imeonesha dalili kuwa ina mpango wa kumshirikisha mwimbaji wa kimataifa wa RnB, John Legend kwenye remix ya wimbo huo. Kupitia akaunti yao ya Instagram, Sauti Sol wamewashirikisha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani