ISABELLA ATUMIKA KUWAUZA WASICHANA MTANDAONI
![](http://api.ning.com:80/files/0qR8BrPZ-VZAKDCUlcx6HHCQQ182nuCb7UVAa2HPeLWX2Bd3CJvbwcs5Sacb-k-kFB7TplpI40qAnNow*8WZK423U*WsUDHS/ISABELA.png)
‘Muuza nyago’ kupitia muziki na filamu hapa Bongo, Isabella Mpanda. Na Hamida Hassan ‘MUUZA nyago’ kupitia muziki na filamu hapa Bongo, Isabella Mpanda amekwaa skendo ya kuuza wasichana kwa mapedeshee, kufuatia jina lake kutumiwa na mtu ambaye jina lake halisi halikupatikana mara moja, ambaye anajitambulisha kwa jina la msanii huyo. Mpashaji wa habari hii ambaye ni rafiki wa karibu na Isabella aliliambia gazeti hili...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnNnjeiF2RdreM2kFVSd7RE8S55zlavJJSUbPKd5sBdu5niSevU7HyTKZPSXq2N0RvV4UultsYxFUW*Sgh1hZFa/snura.jpg)
SNURA ATUMIKA KUTAPELI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N3a4E7n0Bnfv9evCsnRqiWaOUOobwJj-fa2vYHnEEP0TUbh5sYLt0ZKuYnlODDsYCEY0gxHY3Idiwm77ugX-iWjaQBdP4-AT/baba.jpg)
BAKHRESA ATUMIKA KUTAPELI...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Amanda atumika kwa utapeli
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.
Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa4TmYeIFskLtyKcyYF9DQBK91MIS4Ev64My-QOwXL30bbj80cPMcIjFfCorTZLzBW*OkjN9zLK3Vwo*Exn7uArY/wolper.jpg)
WOLPER ATUMIKA KWENYE UTAPELI WA MAMILIONI
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Spika ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Mastaa wanaodaiwa kuwauza wenzao watajwa
Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’.
HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA
MASTAA kadhaa hapa Bongo wamekanyaga skendo ya kudaiwa kuwauza wenzao kwa wanaume ambapo katika orodha hiyo wamo Lungi Mwaulanga,Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Maimartha Jesse.
Chanzo cha habari kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mastaa hao ndiyo wamekuwa wakitumika kuwaunganisha wasaniii wenzao kwa mapedeshee huku wao habari hii, waandishi wetu walizungumza na wahusika ambao kila mmoja alifunguka kivyake.
Maimartha...
11 years ago
BBCSwahili06 May
Jela kwa kuwauza watoto katika ngono
5 years ago
The Citizen Daily18 Mar
‘I am doing fine’, says Isabella, Tanzania’s first Coronavirus patient
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvR4hwcZfk*ivhNc-vp1ogOPVduX9CBuOY9PNDkAsVQU-LHpzOi6j5uUU2GPXbVNnndtQyThr3LBJR3lUaZMMYQ0/Kalama.jpg)
KABLA YA KUVISHWA PETE, ISABELLA ANASWA NA MCHEPUKO