Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huyu Ndo Zitto Kabwe Ninayemfahamu Ambaye CHADEMA Wameamua Kumpaka Matope


Sijawahi kuwa Mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo na sijafikiria kujiunga na chama hicho. Nilishawahi kuwa Mwanachama mtiifu wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema)

Nikiwa ndani ya CHADEMA nimewahi shiriki katika harakati nyingi zote zikiwa na lengo la kukikuza chama ambacho niliamini ndo mkombozi wa kweli wa mtanzania.Bahati mbaya sikuwa sahihi, nilikosea kukiamini chama hicho ambacho idadi kubwa ya viongozi wake ni ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha usaliti...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yambwaga zitto Kabwe Mahakamani

Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake ndani ya chama hicho.

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema: Hatukuzuiwa kumjadili Zitto Kabwe

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa Mahakama Kuu haikuzuia kikao cha Kamati Kuu yake kujadili mambo mengine yanayomhusu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe bali uanachama wake pekee.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe njiapanda, Chadema wamfukuza

>Hali ya kisiasa ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe imewekwa njiapanda baada ya Chadema kutangaza kumvua uanachama saa chache baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyofungua dhidi ya chama hicho kikuu cha upinzani.

 

10 years ago

IPPmedia

Kigoma legislator, Zitto Zuberi Kabwe (Chadema)


IPPmedia
Kigoma legislator, Zitto Zuberi Kabwe (Chadema)
IPPmedia
Kigoma legislator Zitto Zuberi Kabwe (Chadema) has proposed introduction of digital land titles in a bid to curb persistent land conflicts in the country. Debating the annual report tabled by the Parliamentary Committee on Land, Environment and Natural ...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema

Tundu Lisu atangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Zitto Kabwe chadema

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHADEMA YAMFUTIA UWANACHAMA MH. ZITTO KABWE

Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu (pichano) mapema leo hii ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Jimbo la Kigoma Kasikani,Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.
"Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani