Ibada maalum ya kumuaga mch. M. Malekela - January 17, 2015. Karibuni wote!
![](http://3.bp.blogspot.com/-7LLlTIrBM0Q/VLd7yyFhi3I/AAAAAAADVic/RgfUyI58ZQw/s72-c/Malekela1.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-7LLlTIrBM0Q/VLd7yyFhi3I/AAAAAAADVic/RgfUyI58ZQw/s72-c/Malekela1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-oBQfvZv9NiQ/VJbA389vM6I/AAAAAAADSdI/pZPtTzVtlig/s72-c/Malekela.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-nGNy7xHsW3M/VIG0y1BxhMI/AAAAAAAAAlw/_T66qF0QNso/s72-c/IYK%2BPoster%2BDecember%2B7%2B2014.jpg)
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Jumapili hii ya Disemba 07, 2014 Saa Tisa na nusu (3:30pm EST) Karibuni wote! Mch. Ipyana Mwakabonga
![](http://1.bp.blogspot.com/-nGNy7xHsW3M/VIG0y1BxhMI/AAAAAAAAAlw/_T66qF0QNso/s1600/IYK%2BPoster%2BDecember%2B7%2B2014.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-E1Iqnelim6Q/VborFiASyJI/AAAAAAAAAuY/E1qXtadXhac/s72-c/IYK-Flier-Aug-02.jpg)
10 years ago
Vijimambo29 Jan
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 — Ibada Itaanza Saa kumi kamili 4:00EST
Bwana Asifiwe!
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 tumwabudu Mungu wetu na kusikiliza neno lake kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kwa wale washabiki wa "Super Bowl" karibu sana, muda utazingatiwa. Mbarikiwe!www.iykcolumbus.org

![IYK Poster Feb 1 2015](http://www.iykcolumbus.org/wp-content/uploads/2015/01/IYK-Poster-Feb-1-2015.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-umAadk3LQWg/VUNXgh07mmI/AAAAAAAAApM/cEF7FTRhLJk/s72-c/IYK%2BPoster%2BMei%2B3%2B2015.jpg)
Kantate!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili
Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!
*** *** Ibada ya Kiswahili Columbus *** ***
![](http://4.bp.blogspot.com/-umAadk3LQWg/VUNXgh07mmI/AAAAAAAAApM/cEF7FTRhLJk/s1600/IYK%2BPoster%2BMei%2B3%2B2015.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-umAadk3LQWg/VUNXgh07mmI/AAAAAAAAApM/cEF7FTRhLJk/s72-c/IYK%2BPoster%2BMei%2B3%2B2015.jpg)
Kantante!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili
Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!
*** *** Ibada ya Kiswahili Columbus *** ***
![](http://4.bp.blogspot.com/-umAadk3LQWg/VUNXgh07mmI/AAAAAAAAApM/cEF7FTRhLJk/s1600/IYK%2BPoster%2BMei%2B3%2B2015.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pQH5_2Dlgdo/VLVI9ZjqtwI/AAAAAAAAAmU/9Uqc05JqlRA/s72-c/IYK_Kusifu_Kuabudu.jpg)
Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)
Ibada ya Kiswahili inakukaribisha Rasmi katika Ibada ya Pili ya mwezi wa Januari 2015Kwa Baraka za Mungu tumebarikiwa kuanza mwaka 2015 kwa Ibada mbili kila mwezi, Ibada ya pili itaongozwa na Kuabudu na Kusifu - Januari 18, 2015 Saa Kumi kamili 4:00pm
*** www.iykcolumbus.org ***
![](http://4.bp.blogspot.com/-pQH5_2Dlgdo/VLVI9ZjqtwI/AAAAAAAAAmU/9Uqc05JqlRA/s1600/IYK_Kusifu_Kuabudu.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-apoKS20W8Wk/VbXwvVvi_HI/AAAAAAAAJC0/YJ_ndwmYnEg/s72-c/11798198_938492069506898_2088237233_n.jpg)
Ibada ya kumuaga Balozi Liberata Mulamula Washington DC Julai 26, 2015
Picha kwa hisani ya Samuel Malonja
Jumapili ya Julai 26 2015, kanisa linaloabudu kwa kiswahili hapa Washington DC la The Way of the Cross Gospel Ministries lilifanya ibada maalum ya kuagana na aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
Aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiongea na washarika pamoja na wageni waliohudhuria ibada maaluma ya kumuaga
Kwa picha zaidi, bofya soma zaidi
![](http://4.bp.blogspot.com/-mma0ouz8t08/VbXwya9WLII/AAAAAAAAJD4/AsC4uAtaOYY/s640/11802002_938492076173564_1843880654_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5LUXM2V2_LU/VbXww0I6bwI/AAAAAAAAJDY/4MUZu5nDvss/s640/11798504_938492106173561_1670633005_n.jpg)
Aliyekuwa...
Jumapili ya Julai 26 2015, kanisa linaloabudu kwa kiswahili hapa Washington DC la The Way of the Cross Gospel Ministries lilifanya ibada maalum ya kuagana na aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
![](http://3.bp.blogspot.com/-apoKS20W8Wk/VbXwvVvi_HI/AAAAAAAAJC0/YJ_ndwmYnEg/s640/11798198_938492069506898_2088237233_n.jpg)
Kwa picha zaidi, bofya soma zaidi
![](http://4.bp.blogspot.com/-mma0ouz8t08/VbXwya9WLII/AAAAAAAAJD4/AsC4uAtaOYY/s640/11802002_938492076173564_1843880654_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5LUXM2V2_LU/VbXww0I6bwI/AAAAAAAAJDY/4MUZu5nDvss/s640/11798504_938492106173561_1670633005_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kSeuTnX3NH4/VbXwuahnN-I/AAAAAAAAJCg/5czoYXH4eB4/s640/11791803_938492116173560_2131171363_n.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania