IBRAHIM MASOUD 'MAESTRO' NAYE NDANI YA EFM 93.7
![](http://api.ning.com:80/files/kwvKg1TQ8fX4ovBycl47FuW4W9F6eii9aRGAUaRJM-1pHm777dAaAQhrguI1sxs-RiGU9cJwP8984osJmTmxKGtglbIFN7sd/maestro.jpg)
Maestro (kushoto) akitambulishwa rasmi na Mkuu wa kipindi cha michezo cha E. sports cha EFM 93.7 na Maulid Baraka Kitenge leo. ALIYEKUWA Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa radio Clouds Dar es Salaam, Ibrahim Masoud 'Maestro' leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio hapa jijini Dar es Salaam cha EFM 93.7. Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nTt30WMD8CM/VMYt5I6ks3I/AAAAAAAG_hU/yRLE_u_ZZIU/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Ibrahim Masoud 'Maestro' atua E FM 93.7
![](http://4.bp.blogspot.com/-nTt30WMD8CM/VMYt5I6ks3I/AAAAAAAG_hU/yRLE_u_ZZIU/s1600/unnamed%2B(29).jpg)
Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge na Omary Katanga ambao wapo katika radio hiyo inayokuja kwa kasi jijini.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fd9x6pBqcnA/VMYt5XL3vvI/AAAAAAAG_hc/m4F_BleJ-KE/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
10 years ago
GPLOMMY DIMPOZ 'POZI KWA POZI' NAYE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO
11 years ago
GPL03 Jun
GLOBAL TV ONLINE YAJA NA KITU KIPYA 'NDANI YA 18'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi2NLPM4wuhrX8M4cSiMqTaHxuB3*acKvbbnkCqT23aTo321vrHMGUyg9OljqM5n-VBa*QiBnc3MXZ71NcbUdgry/NANDOBBA.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-w*FIZbCu5hIbqapEPKmb7M5PmdSJDQXrcy-HWkq2iMRULv68OuX*y7ehNKlj-lb2hWtjIRjhy2RN7NQlmFpf-s/JIKEJEURI.jpg?width=650)
POWER BLACK NYATI 'JIKE JEURI' NDANI YA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-ZuEdMJJJ-po/VDvRfLENGoI/AAAAAAAAcVY/OCOyh4iUVCk/s1600/mapenzi%2Bya%2Bmungu.jpg)
MAMA KANUMBA, LULU NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO 'MAPENZI YA MUNGU'
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE