ICC yafuta kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyata
MAHAKAMA ya kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Dec
Kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, ICC yampa muda Bensouda
![](https://2.bp.blogspot.com/-xqIaKTncqn4/VH_cFnF7ajI/AAAAAAABzYY/efKUwoaBj0c/s1600/141008160241_kenya_icc_640x360_bbc_nocredit.jpg)
ya kimataifa ICC Mhe. Fatou Bensouda
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imempa kiongozi wa mashtaka katika mahakama hiyo Fatou Bensouda makataa ya juma moja kutoa ushahidi dhidi ya rais wa kenya la sivyo aondoe mashtaka dhidi yake.''Kucheleweshwa kwa kesi hiyo ya rais Uhuru ni kinyume na maslahi ya haki ''iliamua.Rais Kenyatta ni kiongozi wa kwanza wa taifa kufika katika mahakama hiyo tangu ashtakiwe rasmi mwaka 2012 na mashtaka ya uhalifu...
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Mahakama ya Kimataifa ya ICC imeamua ktupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya
Mwendeshaji mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.
Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika moja kwa moja na mauaji ya maelfu ya Wakenya wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Kenyatta alishtakiwa kama mshukiwa mkuu wa ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/2008...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/--yg8ggibPlI/VBsGkgzLPKI/AAAAAAABZgc/ECW2NAXNiOU/s72-c/uhuru%2B2.jpg)
MWANAMUZIKI MAARUFU WA MAREKANI AKONI AMTEMBELEA RAIS WA KENYA UHURU KENYATA
![](http://2.bp.blogspot.com/--yg8ggibPlI/VBsGkgzLPKI/AAAAAAABZgc/ECW2NAXNiOU/s640/uhuru%2B2.jpg)
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Kesi dhidi ya Ntaganda kuanza ICC leo
10 years ago
Vijimambo08 Oct
Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/08/141008075142_uhuru_kenyatta_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.
Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Nini Hatima ya Uhuru Kenyata?
SEPTEMBA 19 mwaka huu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) iliamuru Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, afike katika mahakama hiyo Oktoba 8 mwaka huu Amri hiyo ilitolewa kwa madai serikali yake...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Rais Uhuru Kenyatta hana mashtaka ICC
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...