Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAFIKIA 480

   Na.WAMJW,DodomaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini ambapo amesema kuwa kuna maambukizi mapya ya ugonjwa huo kwa watanzania 196 ambapo kati yao; kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla ya watu waliopata maambukizi kuwa ni 480.
Aidha,Waziri Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa waliopona imeongezeka kutoka 48 hadi kufikia 167, (Zanzibar wako 36, Bara ni 83).
Hali kadhalika vifo 6 vimetokea na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya wagonjwa Zanzibar yafikia saba

Mamlaka ya kisiwani Zanzibar, imetangaza kuwa na maambukizi mapya ya wagonjwa wawili wenye maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliothibitishwa kuwa na corona Kenya yafikia 2,862 , wagonjwa wapya 95 wakiripotiwa kuambukizwa

Idadi ya wagonjwa wapya Kenya ni 95 huku watu 98,439 wakipimwa corona kufikia leo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Idadi ya wagonjwa wa corana Tanzania yafikia 12

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kuwa nchi hiyo ina wagonjwa 12 wa ugonjwa wa corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yafika 147 baada ya wagonjwa 53 zaidi kukutwa na virusi hivyo

Tanzania imethibtisha wagonjwa wapya 53 wa virusi vya corona nchini humo hatua inayoongeza idadi ya watu walioathirika na ugonjwa huo kufikia watu 147

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya waliopona corona Kenya yafikia 553

Wagonjwa 54 wa virusi vya corona wamethibitishwa kupona nchini Kenya , ikiwa ndio idadi kubwa zaidi kutangazwa kwa siku

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani