Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAZIDI KUPUNGUA NCHINI, YASISITIZWA TAHADHARI IENDELEE KUCHUKULIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia baada ya Swala ya Eid el Fitr, katika Msikiti wa Gaddaff, Jijini Dodoma, leo Mei 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

DODOMA, Tanzania
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imeendelea kupungua huku baadhi ya vituo vikiwa havina wagonjwa na kwamba kwa mujibu wa takwimu za leo asubuhi Dar es Salaam kuna wagonjwa 11, Kibaha 16 na Dodoma kituo cha Mkonze wagonjwa ni watatu.
Akizungumza mara baada ya sala ya Idd El Fitr katika...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yafika 281

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yaongezeka hadi kufikia 2767

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 2,767 baada ya wagonjwa wengine 167 kupatikana na virusi hivyo kutoka sampuli 2,833 zilizofanyiwa vipimo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yafika 147 baada ya wagonjwa 53 zaidi kukutwa na virusi hivyo

Tanzania imethibtisha wagonjwa wapya 53 wa virusi vya corona nchini humo hatua inayoongeza idadi ya watu walioathirika na ugonjwa huo kufikia watu 147

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya watu waliopatwa ca corona yazidi 1000 Kenya

Idadi ya watu waliopatwa ca corona yazidi 1000 Kenya, baada ya visa 66 kupatikana katika kipindi cha saa 24 zilizopita

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani