IGP atema cheche
Baada ya kuapishwa jana kuwa Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu amesema ataanza kazi yake kwa kupambana na uhalifu wa aina zote pamoja na ajali za barabarani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Feb
Membe atema cheche
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametema cheche akitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba, lakini akawashushia lawama waandishi wa habari nchini.
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Mmiliki wa IPTL atema cheche
9 years ago
Habarileo06 Dec
Mbunge Gama atema cheche
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, ametoa wiki mbili kwa Mhandisi wa Maji wa manispaa hiyo, Samwel Sanya, kuhakikisha wakazi wa kata ya Luhuwiko wanapata huduma ya maji safi na salama.
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Balozi Sefue atema cheche
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...
11 years ago
Michuzi20 Jul
WAZIRI DK. KAMANI ATEMA CHECHE BUSEGA
Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Alisema huu sio wakati wa kukaa na kubweteka...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Waziri Mwijage atema cheche kwa watendaji
11 years ago
Mwananchi27 Jun
UCHAGUZI SIMBA: Mke wa Costa atema cheche
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Bajeti Kuu yapita gizani, Mkuya atema cheche
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/FXkFLUV2MHg/default.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU LEO MJINI DODOMA, ATEMA CHECHE KWA WANAOMTUHUMU
WAZIRI Mkuu Mstafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Mh. Lowassa ambaye alikuwa amesindikizwa na Wenyeviti wa CCM wa mikoa 12 kutoka bara na visiwani, aliwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma majira ya saa 8:30 mchana wa leo Julai 1, 2015, na kupokewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Rajabu...