Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MANGU AFANYA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA POLISI

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi. Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

IGP afanya mabadiliko ya makamanda Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za jeshi hilo huku akifanya uhamisho kwa baadhi ya makamanda.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA MIKOA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Deusdedit Nsimeki  anayekwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Aliyekuwa kamanda wa Polisi...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu atembelea mkoa wa Katavi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku,  kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo. Picha na...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akutana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti

 Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa   kikao cha muendelezo wa  kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la PolisiMkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Shabani Simba na viongozi wengine wa dini ya kiislamu wakati wakiingia katika...

 

11 years ago

Michuzi

IGP MANGU AONGOZA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAKUU WA JESHI LA POLISI MJINI MOSHI LEO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa Huduma Bora Kwa Jamii”. Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP ERNEST MANGU AKUTANA NA MASHEIKH WA MIKOANI NA MAIMAMU WA MISIKITI

Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa kikao cha muendelezo wa kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani