Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MANGU AKUTANA NA MASHEIKH JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katika Mafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwinyibaraka Sheikh Issa Othman wakati akilelekea kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini ya Kiislamu ili kuimarisha usalama nchini.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akutana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti

 Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa   kikao cha muendelezo wa  kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la PolisiMkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Shabani Simba na viongozi wengine wa dini ya kiislamu wakati wakiingia katika...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP ERNEST MANGU AKUTANA NA MASHEIKH WA MIKOANI NA MAIMAMU WA MISIKITI

Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa kikao cha muendelezo wa kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI JIJINI DAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akikagua Gwaride Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili ambayo yamefungwa rasmi leo Juni 22, 2015 katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimvisha cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Magereza Mhitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili ambaye amefanya vizuri kwa upande wa Gwaride, Stafu Sajini Boniphace Felix. Mhitimu huyo...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimvisha cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Magereza Mhitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili ambaye amefanya vizuri kwa upande wa Gwaride, Stafu Sajini Boniphace Felix. Mhitimu huyo amevishwa cheo hicho kwa niaba ya Wahitimu 216 wa Mafunzo hayo.Maafisa wa Jeshi la Magereza wakionyesha umahiri mkubwa wa mbinu mbalimbali za kujihami  na adui kama wanavyoonekana kikakamavu katika picha wakati wa hafla fupi ya kufunga Mafunzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP ERNEST MANGU KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI, JIJINI DAR

Katika jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Jeshi la Magereza katika kujenga na kudumisha mahusiano baina ya Askari na Maafisa wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, tarehe 22 Juni, 2015 saa 3:00 asubuhi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest J. Mangu(pichani) anatarajia kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili, katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo ambayo yamechukua muda wa miezi minne yalilenga kuwaandaa Maafisa kuwa viongozi wa kati...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo. Picha na...

 

10 years ago

Vijimambo

IGP AZUNGUMZA NA MASHEIKH WA JIJI LA DAR WAUNGANA KUKEMEA UHALIFU NCHINI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katika Mafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwinyibaraka Sheikh Issa Othman wakati akilelekea kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini ya Kiislamu ili kuimarisha usalama nchini.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani