IJUMAA GAZETI PENDWA BORA TANZANIA
![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68Xgg0bT1pxBzLxWKI1e7-SmzZDnhxVKT3zu9HzrgHyL*EBzJmWN*3*EOYscgMJsHifsaMtlfOzF8jz2bP5cDK7ioj/IJUMAATANGAZO.jpg?width=650)
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJNIF8A2HsTULa7JGUarGaZF1f*mgbXKLPM3p-WWm3FywMmRH*FjrGXUZRA4y-FIvUhzNN2A3qltUXw1bG-uoQOC/IJUMAATANGAZO.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIl8GAoDPSTz3weYmZvMkiEJWyiVStJCDLMMgv**lGY26G93JSmeEDIu40MAJcydbfyQlFX*od9wAxtP8q7f-WlW/1.jpg?width=650)
GAZETI LA IJUMAA NDIYO HABARI YA MJINI !
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiwa wanasoma gazeti la Ijumaa huku wakiwa wamevalia T-Shirt zinazolitangaza gazeti hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global wakiwa wamependeza ndani ya t-shirt zenye chata la Ijumaa.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Jokate.jpg)
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!
Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena na mazito na Ijumaa. Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond -Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani? -Unataka kufahamu undani wake? Mme wa mtu afanya mambo ya aibu -Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje? Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku -Ni...
9 years ago
GPL9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/WASTARA.jpg)
YOTE HAYA UTAYAPATA KATIKA GAZETI LAKO LA IJUMAA WIKIENDA
WASTARA AKATWA MGUU! -Mamilioni ya fedha yatumika, mwenyewe aeleza maumivu makali aliyopitia kwa saa 24
-Unataka kujua jinsi alivyokatwa mguu huo na ni kwa nini? CHANZO CHA LULU KUTODUMU NA MWANAUME CHATAJWA! -Unajua chanzo hicho ni nini?
-Licha ya kuwa na mvuto, kwa nini hadumu na mwanaume? MGONI AMUUA MWENYE MKE!
-Amvizia shambani, ampiga na jembe kichwani naye ala kichapo
-Unajua chanzo cha kisa hicho? KAJALA APATA...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Magufuli.jpg)
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO
Ziara zake za kushtukiza... Magufuli azua kizaazaa Moro -Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa -Kweli hapa kazi tu! -Unataka kufahamu tukio zima lilikuwaje? Ray C arekodiwa Video ya X -Mwenyewe akiri -Afunguka ya moyoni kuhusu tukio hilo -Unataka kujua ilikuwaje, video hiyo nani kamrekodi na imesambaaje? Mke amfanyia mwanaye umafia -Amfungia ndani kwa saa tano usiku -Atokomea -Majirani wamuokoa mtoto -Unataka kufahamu ni...
10 years ago
Vijimambo19 Feb
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania