Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yalitega Bunge

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hawezi kuchukua hatua kwa sasa dhidi ya viongozi wanaodaiwa kuchota mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, hadi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ikulu: Rais hajadharau Bunge

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.KURUGENZI ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema Rais Jakaya Kikwete hajadhalilisha Bunge ama wabunge.

 

10 years ago

TheCitizen

What Ikulu, Bunge sites say of Cabinet

The official State House and Parliament websites are all behind the news, continuing to display the old cabinet line up despite the fact that a new list is in place for over a month now.

 

10 years ago

Habarileo

Ikulu yashangaa Kamati ya Bunge

Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Salva Rweyemamu SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuitaka Serikali kufanya kila linalowezekana kupunguza misamaha ya kodi, Serikali imeelezea kushangazwa na kauli hiyo, huku ikisema wabunge ndio walioshindwa kupitisha Muswada wa Sheria ya Kufuta Misamaha ya Kodi Nchini.

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'


Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani