ILIBAKI HIVI TU DIAMOND AKATWE MGUU!

Musa Mateja Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya na nyota wa Wimbo wa Nitampata wapi aliyewahi kuwa mchumba wa Wema Sepetu, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenusurika kukatwa mguu katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni jijini Dar es Salaam kufuatia ugonjwa wa Foot Corn (maarufu kwa jina la kisahani) kumtesa kwa kipindi kirefu. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Diamond ambaye kwa sasa anaminya kimalavidavi na mwanamama...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari: Diamond ananipenda hivi hivi pamoja na ninyi kuniona bibi!

Kuna watu wanaodai kuwa make up ya Zari kwenye video ya Utanipenda! imemharibu na sasa mpenzi huyo wa Diamond amevunja ukimya na kuwajibu.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zari ameandika:
Need I remind some fools that this was a music video a lot of make up going on here and sometimes it just doesn’t do justice on a face, so if age is what is bothering you guess what, he knows there is a lot of young hoes out there but then again he prefers this old ass right here, so suck that up and take...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje