INNOCENT MELLECK ASIMKWA KUWA NAIBU KAMANDA WA UVCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI
Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk Cyril Chami (katikati) Innocent Melleck ,Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Moshi vijijini Moris Makoi na viongozi wengine wa CCM wakipunga mkono kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa shughuli ya kumsimika naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini.
Mbunge wa jimbo la Moshi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HL09xik6Vxs/VQl6zcJJIfI/AAAAAAAHLR0/4e20zvUdNTc/s72-c/IMG_9720.jpg)
Naibu Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Moshi vijijini ampongeza Rais Kikwete
Naibu Kamanda wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),Wilaya ya Moshi vijijini,Innocent Melleck amempongeza Rais Jakaya Kikwete na Serikali kwa ujumla kwa kuwajali wananchi wa kijiji cha Mwakata wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga waliopatwa na janga la kubomokewa na nyumba zao kutokana na mvua iliyoambatana na mawe makubwa na upepo mkali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Melleck amesema kitendo cha Rais Kikwete kuahidi kuwajengea nyumba...
10 years ago
Mwananchi10 Nov
UVCCM wagoma Pinda kuwa naibu kamanda, kisa urais 2015
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Samwel Nakei, aapishwa kuwa kamanda wa UVCCM wilaya mpya ya Mkalama, Mkoani Singida aahidi kuleta neema kwa Vijana
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akimwapishwa Samwel Nakei kuwa kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mkalama jana.
Samweli Nakei akila kiapo cha kuwa Kamanda wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama.
Na Hillary Shoo, MKALAMA
VIJANA Wilayani Mkalama Mkoani Singida wametakiwa kujiunga kwenye vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ili waweze kukopesheka kirahisi badala ya mtu mmoja mmoja.
Changamoto hiyo imetolewa jana Wilayani hapa na Kamanda Mpya ya Umoja wa vijana wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama,...
10 years ago
Michuzi23 Oct
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UHYpsTi4Y0E/default.jpg)
9 years ago
VijimamboINNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.
10 years ago
Habarileo10 Nov
Kingunge kuendelea kuwa Kamanda UVCCM
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), limempitisha mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwilu kuendelea kuwa kamanda wa umoja huo.