Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Interview ya Zari na Diamond - Clouds Fm

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI WAFANYIWA EXCLUSIVE INTERVIEW CLOUDS TV/RADIO

Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV. Diamond akimuweka sawa mpenzi wake. Mtangazani mwenye jina kubwa wa Radio Clouds FM, Gerald Hando 'Mzee Mnoko' (kushoto) na Edson Kamoga wa 360 ya Clouds TV (kulia) wakiendelea kufanyia…

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani