Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INTRODUCING: JANB - MAY LIFE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Introducing Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House)

Kituo kipya na cha kisasa kimefunguliwa huko Bagamoyo, eneo la Ukuni, Mkoa wa Kwani kikiwa na  huduma nzuri, kuanzia malazi, chakula bora na usafi wa hali ya juu na kipo sehemu tulivu tayari kuwasaidia waathirika wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe kupindukia, ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha kwa njia ya ushauri nasaha na kuwarudisha katika hali timamu.Kituo hiki cha aina yake kina wataalamu waliobobea kila idara.Pia kuna daktari wa afya.Kituo pia kinatoa mafunzo ya ujasiriamali na mafunzo...

 

11 years ago

Michuzi

EP Album ya JANB sokoni

Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wanaweza kuinunua ''360 EP Album'' yangu katika vituo vifuatavyo jijini Dar es Salaam na kwa kiasi cha T.SH 5,000 tuu. SamakiSamaki Mlimani city & Posta, Century Cinemax (Movie theater)-Mlimani City, Aziz Barber Shop zamani Prof Jizzle barbershop-Msasani mwisho, Shebby barber shop-Lufungira Sinza, Billionnaires barber shop-Mikocheni kwa Nyerere, Lily's boutique-Mwenge, Ofisi za Bongo5-Msasani, Pia wanaweza kunicheki kwa namba yangu 0756169978 kuinunua...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa EP ya JanB club billicanas


Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 March 2014 CLUB BILLICANAS. Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo. Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne usiku mpaka chweee kwa kiingilio cha buku 8 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.
Venue: Club billicanas Date: 9th March 2014 Price: T.sh...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YAAFRICAN LIFE ASSURENCE YABADILISHA JINARSNI KUWA SANLAM LIFE

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda  Akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg.Julius Magabe Tayari kwa Uzinduzi wa  Kampuni ya Sanlan. Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda wa Pili Kushoto Akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg.Julius Magabe, wa pili kulia Pamoja na Mtendaji Mkuu wa umoja wa makampuni ya Sanlam.Ndugu.Ian Kirk..Israel Kamuzora, Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya African Life Assurance yabadilisha jina kuwa Sanlam Life Insurance

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life Insurance Ndg. Julius Magabe Tayari kwa uzinduzi wa  Kampuni ya Sanlan.

 DSC_0408

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg. Julius Magabe, (wa pili kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa umoja wa makampuni ya Sanlam. Ndugu.Ian Kirk..Israel Kamuzora, Kamishna wa Bima katika Mamlaka...

 

5 years ago

SciTechDaily

How Did Life Begin? New Study Reveals Life in the Universe Could Be Common

How Did Life Begin? New Study Reveals Life in the Universe Could Be Common  SciTechDaily

 

11 years ago

TheCitizen

Dr Alidina: The gift to life is life

Unlike other branches of medicine, even with cancer cases on the rise countrywide, oncology is still the least known of all.

 

10 years ago

Vijimambo

No life without wife but a wife can be a knife to cut off your life

John ni kijana mwenye umri wa miaka 30. Ana shahada ya uzamili (Masters) ktk masuala ya Usimamizi wa biashara, na kwa sasa anafanya kazi kama Mkurugenzi wa fedha kwenye shirika moja la kimataifa hapa nchini.Hajaoa bado, lakini ana nyumba mbili nzuri za kuishi hapa jijini. Moja Mbezi Beach na nyingine Kimara.. Ana gari 2 za kutembelea na 3 za biashara.. Anamiliki duka moja la nguo Kariakoo na jingine la simu Mlimani city.. Ni mcha Mungu, mpole na mtanashati.. Ni miongoni mwa vijana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani