Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EP Album ya JANB sokoni

Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wanaweza kuinunua ''360 EP Album'' yangu katika vituo vifuatavyo jijini Dar es Salaam na kwa kiasi cha T.SH 5,000 tuu. SamakiSamaki Mlimani city & Posta, Century Cinemax (Movie theater)-Mlimani City, Aziz Barber Shop zamani Prof Jizzle barbershop-Msasani mwisho, Shebby barber shop-Lufungira Sinza, Billionnaires barber shop-Mikocheni kwa Nyerere, Lily's boutique-Mwenge, Ofisi za Bongo5-Msasani, Pia wanaweza kunicheki kwa namba yangu 0756169978 kuinunua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa EP ya JanB club billicanas


Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 March 2014 CLUB BILLICANAS. Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo. Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne usiku mpaka chweee kwa kiingilio cha buku 8 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.
Venue: Club billicanas Date: 9th March 2014 Price: T.sh...

 

10 years ago

Bongo5

Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’

Baada ya rapper Tyga kuitupia lawama label yake ya Young Money (YMCMB) hivi karibuni kuwa inambania album yake kutoka, rapper huyo ametumia Twitter kutangaza tarehe ya kutoka album yake inayoitwa “The Gold Album” ambayo sasa itatoka mwezi ujao. Kupitia Twitter Tyga ameandika sasa album hiyo itatoka siku mbili kabla ya sikukuu ya Christmas Dec 23. […]

 

11 years ago

Bongo5

Album mpya ya 2face ‘The Ascension’ yaingia kwenye orodha ya Billboard ya album zinazouza zaidi duniani

Jarida la muziki la Marekani, Billboard Magazine limeitaja album mpya na ya sita ya muimbaji wa Nigeria, 2face Idibia, ‘The ‘Ascension miongoni mwa album zilizouza zaidi wiki hii duniani. ‘The ‘Ascension ” imekamata nafasi ya 12 kwenye chart billboard. Mafanikio hayo yamepokelewa kwa furaha kubwa na mke wake Annie Macaulay-Idibia aliyetumia mtandao wa Instagram kuelezea […]

 

10 years ago

Mwananchi

Shilingi yaimarika sokoni

>Siku mbili baada ya shilingi ya Tanzania kuanza kuimarika dhidi ya Dola, Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya amezitaja mbinu zilizochukuliwa ili kuiimarisha ikiwa ni pamoja na kuzuia uhamishwaji wa fedha kutoka benki moja kwenda nyingine kitaalamu ‘swapping.’

 

11 years ago

Mwananchi

Luhende, Abdul sokoni

>Mabeki wa Yanga, David Luhende na Juma Abdul wamefungua milango kwa klabu nyingine zinazotaka kuwasajili kuwafuata sasa ili wazichezea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

 

10 years ago

Michuzi

MCHUMA UKO SOKONI

Bei Milioni 6.5 Maelewano yapo. Kwa maelezo zaidi cheki kwa namba hii: 0713262902. Karibu.

 

10 years ago

Michuzi

Gari liko sokoni

Gari aina ya Toyota Rav4,liko sokoni kwa gharama nafuu kabisa au waweza sema ni karibu na bure.Gari iko kwenye hali nzuri sana. Gia ni automatic, mafuta inayotumia ni petrol, imetembea 128,000 km. 
kwa atakayeihitaji,asasiliwane na ndugu kwenye Mawasiliano haya 0683 206230 Linavyoonekana kwa nyuma na ubavu wa kushoto.ndani.Mbele.

 

10 years ago

GPL

UCHAWI WAFUMULIWA SOKONI

waandishi wetu
WE acha tu! Sangoma mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Chimwaganje (44), amezua kizaazaa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar kufuatia kufumua vitu chini ya ardhi vinavyodhaniwa ni vya ushirikina,  Risasi Jumamosi linakujuza. Sangoma Mohamed Chimwaganje akishika hirizi aliyoitoa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar. Tukio hilo la aina yake lilijiri asubuhi ya Machi 25,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani