Shilingi yaimarika sokoni
>Siku mbili baada ya shilingi ya Tanzania kuanza kuimarika dhidi ya Dola, Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya amezitaja mbinu zilizochukuliwa ili kuiimarisha ikiwa ni pamoja na kuzuia uhamishwaji wa fedha kutoka benki moja kwenda nyingine kitaalamu ‘swapping.’
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ693JhtbMu6u27Ji7YC0cnzkASkIWI7vwg8wbUkwcEx7ZyfBjhaUo7kFOdfmkY2-hI*f2H5OIO4FdxtaEdYvNt9E/Soko.jpg?width=650)
SOKO LA BUGURUNI: SHILINGI MIL.27 HUKUSANYWA KWA MWEZI, LAKINI HALI YA UCHAFU SOKONI HAPO NI HATARI
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 May
Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?
Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani
Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]
Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Afya ya Pele yaimarika
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Afya ya Marsh yaimarika
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Afya ya Mbowe yaimarika
AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Hali ya Schumacher yaimarika
10 years ago
CloudsFM02 Apr
10 years ago
Habarileo11 Nov
Hali ya Rais Kikwete yaimarika
HALI ya Rais Jakaya Kikwete ambaye mwishoni mwa wiki alifanyiwa operesheni ya tezi dume, inaendelea kuimarika na ameanza kufanya mazoezi ya kutembea.
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Afya ya Sheikh Sudi yaimarika
JESSICA KILEO
HALI ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Aswer Muslimu Youth Center, kanda ya Kaskazini, Sheikh Sudi Sudi, aliyejeruhiwa kwa kulipuliwa bomu jijini Arusha inaendelea vizuri.
Sudi ambaye alilipuliwa na bomu akiwa na mgeni wake Muhaji Kifea, walihamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufani, Mount Meru Arusha.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii jana, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa ya Nje wa MNH, Dk. Juma Mfinanga alisema wagonjwa hao wanaendelea...