Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afya ya Sheikh Sudi yaimarika


JESSICA KILEO
HALI ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Aswer Muslimu Youth Center, kanda ya Kaskazini, Sheikh Sudi Sudi, aliyejeruhiwa kwa kulipuliwa bomu  jijini Arusha inaendelea vizuri.
Sudi ambaye  alilipuliwa na bomu akiwa na mgeni wake Muhaji  Kifea, walihamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufani, Mount Meru Arusha.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii jana, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa  ya Nje wa MNH, Dk. Juma Mfinanga alisema wagonjwa hao wanaendelea...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Afya ya Mbowe yaimarika

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.

Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afya ya Pele yaimarika

Hali ya afya ya gwiji wa soka duniani Pele imemarika baada ya kutoka kwenye hali mahututi.

 

11 years ago

Mwananchi

Afya ya Marsh yaimarika

Hali ya afya ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh ambaye amelazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam imeelezwa kwamba imezidi kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe.

 

9 years ago

Habarileo

Afya ya Kardinali Pengo yaimarika

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afya ya Bush yaimarika hospitalini

Aliyekuwa rais wa Marekani George Bush atasalia hospitalini wikendi hii lakini huenda akatoka hivi karibuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Afya ya Mabere Marando yaimarika

Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria Mabere Marando, imeanza kuimarika na leo alifanyiwa vipimo kadhaa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa.

 

5 years ago

Michuzi

SHEIKH KIPOOZEO AIKUMBUSHA JAMII KUWA NA HOFU YA MUNGU, AGUSIA UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KULINDA AFYA YA MTOTO


Na Khadija Seif, Michuzi tv

SHEIKH Hillal Shaweji maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo amewaomba wazazi na walezi kuwa na hofu ya Mungu kwa lengo la kuimarisha na kuendesha familia zao katika misingi ya kiucha Mungu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Sheikh Kipozeo amesema wazazi na walezi wakiwa na misingi ya dini na hofu ya Mungu familia huwa na amani kubwa n kuishi maisha yenye furaha na kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Sheikh Kipoozeo amefafanu wakati nwingine watoto wanakumbwa na mikasa mingi ya...

 

10 years ago

Michuzi

SHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO

Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Sheikh Abdulkadir Mohamed Ramiya akiongea na mwandishi wa Azam TV Bw. Octaviana baada ya kutoa tamko lake (hapo juu) leo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUNJWA KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA SHEIKH KASIM

Alhajj Maalim Hassan Yahya Hussein. Ndugu Wanahabari, Assalam Aleykum Kama mnavyojua kwamba kumetokea tukio la kusikitisha  la kuvunjwa kwa Makaburi ya Masheikh Wetu, wapendwa wetu,  wazazi wetu na viongozi wetu wa Dini  ya Kiisalam, Marehemu Sheikh Yahya Hussein Na Marehemu Sheikh Kassim Bin Juma, Usiku wa kuamkia tarehe 10/4/2012 katika viwanja vya Makaburi ya Tambaza Jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani