Afya ya Mbowe yaimarika
AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Afya ya Marsh yaimarika
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Afya ya Pele yaimarika
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Afya ya Mabere Marando yaimarika
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Afya ya Sheikh Sudi yaimarika
JESSICA KILEO
HALI ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Aswer Muslimu Youth Center, kanda ya Kaskazini, Sheikh Sudi Sudi, aliyejeruhiwa kwa kulipuliwa bomu jijini Arusha inaendelea vizuri.
Sudi ambaye alilipuliwa na bomu akiwa na mgeni wake Muhaji Kifea, walihamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufani, Mount Meru Arusha.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii jana, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa ya Nje wa MNH, Dk. Juma Mfinanga alisema wagonjwa hao wanaendelea...
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Afya ya Bush yaimarika hospitalini
9 years ago
Habarileo03 Jan
Afya ya Kardinali Pengo yaimarika
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dJLD2vgF4J0/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Shilingi yaimarika sokoni
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Hali ya Schumacher yaimarika