Afya ya Mabere Marando yaimarika
Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria Mabere Marando, imeanza kuimarika na leo alifanyiwa vipimo kadhaa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Afya ya Mbowe yaimarika
AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Afya ya Marsh yaimarika
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Afya ya Pele yaimarika
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Afya ya Bush yaimarika hospitalini
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Afya ya Sheikh Sudi yaimarika
JESSICA KILEO
HALI ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Aswer Muslimu Youth Center, kanda ya Kaskazini, Sheikh Sudi Sudi, aliyejeruhiwa kwa kulipuliwa bomu jijini Arusha inaendelea vizuri.
Sudi ambaye alilipuliwa na bomu akiwa na mgeni wake Muhaji Kifea, walihamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufani, Mount Meru Arusha.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii jana, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa ya Nje wa MNH, Dk. Juma Mfinanga alisema wagonjwa hao wanaendelea...
9 years ago
Habarileo03 Jan
Afya ya Kardinali Pengo yaimarika
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Marando taabani Muhimbili
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Marando apelekwa India
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.
“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...
11 years ago
GPLWAKILI MARANDO ATEMBELEA GLOBAL