Marando taabani Muhimbili
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria, Mabere Marando amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi jioni akiwa hajitambui.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Marando apelekwa India
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.
“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...
11 years ago
GPLWAKILI MARANDO ATEMBELEA GLOBAL
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Marando, Baregu, Safari wachuana
PAZIA la uchukuaji fomu za kugombea uongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana lilifungwa kwa mnyukano wa aina yake, baada ya Prof. Abdallah Safari, Prof. Mwesiga Baregu...
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Afya ya Mabere Marando yaimarika
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Marando: Nitatangaza matokeo kabla ya NEC
NA MWANDISHI WETU
MWANASHERIA wa Chadema, Mabere Marando, ameahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi kila kituo kitakapomaliza upigaji wa kura kabla ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Marando alitoa kauli hiyo alipotakiwa na Lowassa kulitolea ufafanuzi wa kisheria zoezi la kukusanya shahada za kura za polisi na wanajeshi, linalodaiwa kufanywa na viongozi wao.
Alisema njama zote zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kuhujumu matokeo, zikiwamo za kukusanya shahada za polisi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVe6Ewjy6CHKeIdcbi55JKItICa0kD51hbd9pdaEGqKzpcQix-9SBcWacg40MNQyOwp*9XfaVB9UrkP9PbsT2Ajz/marandoo.jpg?width=650)
MARANDO: BABU SEYA ALIBAMBIKIWA KESI
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Wakulima wa kanda ya ziwa wanufaika na mbegu ya marando
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Marando, Profesa Safari watajwa Bunge la Katiba