Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marando: Nitatangaza matokeo kabla ya NEC

marandoNA MWANDISHI WETU

MWANASHERIA wa Chadema, Mabere Marando, ameahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi kila kituo kitakapomaliza upigaji wa kura kabla ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Marando alitoa kauli hiyo alipotakiwa na Lowassa kulitolea ufafanuzi wa kisheria zoezi la kukusanya shahada za kura za polisi na wanajeshi, linalodaiwa kufanywa na viongozi wao.

Alisema njama zote zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)  za kutaka kuhujumu  matokeo, zikiwamo za kukusanya shahada za polisi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Taharuki yakumba Nigeria kabla ya matokeo


Mama akipiga kura nchini Nigeria
Matokeo ya uchaguzi Nigeria yatarajiwa leo
Uingereza na Marekani zimeelezea masikitiko yao kuwa kumekuwa na wizi wa kura, katika uchaguzi mkuu uliomalizika siku ya Jumamosi Nchini Nigeria.
Mwaandishi wa habari wa BBC wa maswala ya Afrika aliyeko Nigeria anasema kuwa hali ni ya wasiwasi katika mji mkuu Abuja.
Katika taarifa ya pamoja, yanasema kuwa wameona dalili za kutiliwa shaka kuwa kumekuwa na uingiliaji wa kisiasa na utaratibu mzima wa uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI DODOMA KABLA YA KIKAO CHA NEC

Aliyekuwa muomba kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambaye ameenguliwa, Edward Lowassa akiwasili kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM kuhudhuria kikao cha NEC.Lowassa akiingia ukumbini Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa mikoa, Mzee Msidai akizungumza na waandishi kabla ya kuingia ukumbini kwenye kikao hicho cha NEC
Mjumbe wa NEC, Dk. Chegeni akizungumza na waandishi kabla ya kuingia ukumbiniMwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja akizungumza na waandishi kabla ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutotoa matamko kabla ya NEC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi kutoa tamko lolote linalohusu uchaguzi au kampeni kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) haijatangaza matokeo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC, vyama vya siasa vianze na haya kabla ya uchaguzi

Vuguvugu la kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba limeshika kasi hivi sasa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Na Peter Elias – Mwananchi Alhamisi, Septemba 10, 2015 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi […]

The post Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Tangazeni matokeo vituoni -NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.

 

9 years ago

Habarileo

‘Hakuna chama kilichohoji matokeo ya NEC’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama vya siasa, vilipewa nafasi ya kuhoji matokeo waliyokuwa wakitangaza kutoka kwenye majimbo na hakuna chama kilichofanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani