Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI DODOMA KABLA YA KIKAO CHA NEC

Aliyekuwa muomba kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambaye ameenguliwa, Edward Lowassa akiwasili kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM kuhudhuria kikao cha NEC.Lowassa akiingia ukumbini Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa mikoa, Mzee Msidai akizungumza na waandishi kabla ya kuingia ukumbini kwenye kikao hicho cha NEC
Mjumbe wa NEC, Dk. Chegeni akizungumza na waandishi kabla ya kuingia ukumbiniMwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja akizungumza na waandishi kabla ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dodoma ilivyokuwa kabla ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Waandishi wa Habari wakiwahi kuingia ukumbini kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu maarufu kama White House.

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Martine Shigela muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum mjini Dodoma.

Hivi ndivyo nje ya jengo la CCM Makao Makuu,Wajasiriamali kwa wingi wao wamekuwa wakifanya bishara za bidhaa zao kwa wana CCM waliokuja kuhudhuria Mkutano Mkuu mjini Dodoma.

Magari...

 

11 years ago

Michuzi

JK AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma na kuwaambia wana CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache unyonge. Baadhi ya Wajumbe wa NEC wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kikao cha NEC kilichoanza jioni ya leo mjini Dodoma .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

KIKAO CHA NEC CCM MJINI DODOMA JANA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana, Feb 16, 2014.  Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya…

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma jana, akiwa meza kuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM  Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM NduguAbdulrahman Kinana. (PICHA NA…

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha NEC Dodoma leo

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Phillip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)  kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM(NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.Sehemu ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wakiwa kwenye kikao hicho...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza kikao cha NEC leo tena mjini Dodoma

1

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo).

2

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma.

4

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC-CCM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha NEC leo mjini Dodoma

1. JK akiingia ukumbini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe alipowasili katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM White House kuendesha kikao cha Hamlmashauri Kuu (NEC ) ya CCM mjini Dodona leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula.

2. JK ukumbini

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho leo.

3. Jk na Kinana ukumbini

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani