Tangazeni matokeo vituoni -NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Sep
NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tujadili matokeo kubandikwa vituoni
SEPTEMBA 17, 2015, nilisoma taarifa ya January Makamba kwenye gazeti la NIPASHE (uk. 03).
Joseph Magata
9 years ago
Mwananchi20 Sep
Kubandika matokeo ya urais vituoni kumechelewa
9 years ago
Habarileo01 Oct
CCM yaridhia matokeo kubandikwa vituoni
CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema kimeridhishwa na utaratibu utakaotumiwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wa kutangaza matokeo ya kura za urais katika vituo vya kupigia kura.
9 years ago
Habarileo03 Oct
NEC yaonya wanaotaka kulinda kura vituoni
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (TUME) imeonya vyama vya siasa, vinavyoshawishi wananchi wabaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura na kueleza kuwa lengo lao si kwa ajili ya kulinda kura, bali vina agenda ya siri.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar30 Sep
Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE
Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]
The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo02 Nov
‘Hakuna chama kilichohoji matokeo ya NEC’
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama vya siasa, vilipewa nafasi ya kuhoji matokeo waliyokuwa wakitangaza kutoka kwenye majimbo na hakuna chama kilichofanya hivyo.
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Marando: Nitatangaza matokeo kabla ya NEC
NA MWANDISHI WETU
MWANASHERIA wa Chadema, Mabere Marando, ameahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi kila kituo kitakapomaliza upigaji wa kura kabla ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Marando alitoa kauli hiyo alipotakiwa na Lowassa kulitolea ufafanuzi wa kisheria zoezi la kukusanya shahada za kura za polisi na wanajeshi, linalodaiwa kufanywa na viongozi wao.
Alisema njama zote zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kuhujumu matokeo, zikiwamo za kukusanya shahada za polisi...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8ZkyxNsuQ5M/default.jpg)