Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaridhia matokeo kubandikwa vituoni

CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema kimeridhishwa na utaratibu utakaotumiwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wa kutangaza matokeo ya kura za urais katika vituo vya kupigia kura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Tujadili matokeo kubandikwa vituoni

SEPTEMBA 17, 2015, nilisoma taarifa ya January Makamba kwenye gazeti la NIPASHE (uk. 03).

Joseph Magata

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura.

 

9 years ago

Habarileo

Tangazeni matokeo vituoni -NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.

 

9 years ago

Mwananchi

Kubandika matokeo ya urais vituoni kumechelewa

Kwa namna ambavyo uamuzi wa kubandika matokeo ya kura za urais katika vituo vya kupigia kura umepokewa na wananchi, ni dhahiri kuwa huo ni uamuzi uliochelewa na ulikuwa unasubiriwa na wengi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE

Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]

The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM

Assalamu alaikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa Vyetu. Assalamu Alaikhum Ndugu Watanganyika Wa Ndani na Nje Ya Nchi Yetu. Assalamu alaikhum Watanzania Wote Kwa Ujumla Wenu.. Ama mimi sina budi ila Kumshukuru Allah […]

The post MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Marekani yaridhia mabilioni

TANZANIA imetimiza masharti yote ya kupatiwa raundi ya pili ya fedha za maendeleo kutoka Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) la Marekani, hivyo itaanza kupata na kunufaika na mabilioni hayo ya fedha baada ya wajumbe wa Bodi ya MCC kupiga kura ya kuidhinisha kutolewa kwa fedha hizo chini ya Mpango wa MCC-2.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani